baadhi ya wafanyakazi wa mashirika na taasisi za umoja wa mataifa nchini wakiwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa ki-moon ban leo ukumbi wa karimjee dar ambako aliongea nao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. dah!ni hilo jua la bongo au maji ya bongo wanayotumia ndio yanayowapausha namna hio??hao ndio wafanyakazi wa UN utasema kikundi cha ngoma za utamaduni newala huko .kweli balaaa

    ReplyDelete
  2. Sijawahi kuona wanawake WANAFIKI kama wanawake wa tanzania,kazi kucheka na kushangilia hata pasipo hitaji kucheka, ndio maana wamediriki hata kumshangilia liyumba alipopewa dhamana feki, as if liyumba ni HERO!! all the time they look CHEAP kama nyanya mbovu sokoni!! hawana MSIMAMO!!! kazi kupiga vigelegele tu!!! hata pasipo maana yoyote!

    ReplyDelete
  3. Nakubaliana na anon wa feb 27 3:37 Inaonekana watanzania tuna ukarimu mwingine usiokuwa na maana yoyote. Nchi zilizoendelewa mtu akikufanyia ukarimu unaanza kujiuliza ana agenda gani especially kwa wageni. Imagine kama wanugu kweli watakuchangamkia kiasi hiki au hata wazungu wenyewe especially unapokuwa mgeni. Nadhani inabidi watu wawe reasonable inapokuja suala la wageni.

    ReplyDelete
  4. WANACHEKACHEKA OVYO TU UTADHANI WAMETEKENYWA VILE

    ReplyDelete
  5. Nyie mnaowananga hao wanawake hamna sera.

    MOJA - Wanawake ni kawaida yao kusmaili mara nyingi zaidi ya wanaume. Kuna research zishafanywa kuthibitisha hilo, na kama huamini hebu anza kuwaangalia wanawake unaokutana nao utagundua wanapoongea na mtu huwa wanatabia ya kusmaili - iwe Bongo au nchi nyingine yeyote

    MBILI - Kusmaili ni kitendo cha kiungwana. Kinamfanya mgeni ajisikie kukaribishwa. Sasa nyie mlitaka wamnunie bosi wao? Nyie ndio mnawalipa mshahara?

    TATU - Kama mko Ulaya/Marekani mbona mijitu ya huko karibia yote ina zile PLASTIC SMILES (matabasamu feki ya kinafiki) lakini hamsemi?

    NNE - Inaelekea nyie wote hamna wanawake wanaowapendeni ndio maana mnakasirishwa na vitu vidogo. Eti mtu kasmaili kwa raha zake wewe unakasirika... mbwiga nini??!!

    Habari ndio hiyo.


    Ni mimi Dk. Dozi Kamili (DK)

    ReplyDelete
  6. Ama kweli katibu mkuu wa UN ni mchumba tu. Mbona hana hata ulinzi kama Bushi? ukitaka unampopoa na mawe tu... usikute kaja bongo na ATC..au labda
    prisishen he he!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...