Bw. Michuzi,
tunashukuru sana kwa blogi yako inatupa faida zaidi kuliko hata magaezi ya ipp,swali langu ni hili kwa nini mtu anapotoa hewa chafu(kujamba) baadhi ya watu hufanya kama wanakohowa au kubanja na wengine kwa nini wanakua wanafanya kama kuvuta pumzi kwa nguvu?
Ahsante

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. wewe huna la kuongea na ndiyo maana umeandika kicho eleweka

    ReplyDelete
  2. Watu hukohoa au kuguna, kwa sababu si tendo la kiungwana au kistaarabu kuuwachia mbele ya kadamnasi, ingawa ni moja ya tabia halali za maumbile ya binadamu bado halipendezi kufanyika panapokuwa na watu wengi na hadhara ya watu, kwa sababu ya harufu mbaya ambayo inatokea wakati wa kupumzika huko.Huenda ikawa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya watu kuuwachia mbele za wenzao walozoeana na kutaniana ila si busara na adabu nzuri kuuachia hovyo, kama unaweza kujizuia na kutafuta faragha yako na kupumzika bila kubughudhi wengine kwa harufu yako mbaya, nawasilisha na kupisha waelewa na wastaarabu wengine watoe changizo kwa kadhia hii inayotukuta hasa kwenye safari za muda mrefu kwenye mabasi.

    ReplyDelete
  3. kujamba kokote,kubanja kokote ni alama ya kuwa huru, kama utafanya hivyo bial woga.lakini ukiona watu wanareact tofauti na mategemeo yako,basi jua tendo hilo kwa utamaduni wa eneo husika halikubaliki hadharani na basi watavuta pumzi au kukohoa kuonyesha kushitushwa na tendo hilo.
    na kama mjambaji hakujulikana basi ni dalili ya kuhisiana .

    ReplyDelete
  4. KAKA MICHUZI POLE NA KAZI HII TOKEA ASUBUHI NAANGALIA KWENYE BLOG YAKO NIONE KAMA KUNA JIPYA LEO TAREHE27/02/2009. NIKAWA SIONI POST YEYOTE MPAKA MIDA YA SAA SABA NA NUSU SIJAONA KITU NIMERUDI MDA HUU NDO NIMEKUTA HII MADA. BINAFSI NINGUKUKUBARI SANA KAMA LEO KULIKUWA HAKUNA ISHU UNGETULIZA TU BALL KWA LEO UKIPATA MPYA UNATUPOSTIA. HEBU NIAMBIE MKUU MDA HUU TUANZE KUKAA KUUMIZA KICHWA KUJADIRI MASWALA YA KUJAMBA. UMENIKELA SANA NAFAHAMU KUMTISHIA MTU NI KOSA KISHERIA LAKINI KWA HILI SIKUACHI LABDA USIKATIZE MITAA YA SINZA USIKU NAMIMI NITAKUFANYIA KITU CHOCHOTE NIHAKIKISHE NA WEWE UMEKELEKA KAMA ULIVYONIKELA.

    ReplyDelete
  5. Kujamba ni kujamba tu...hapa kwetu tunaita KUFYUJHULA....huko kwa akina Mwakyembeeeee.

    ReplyDelete
  6. Yakhee we vipi weye...? Huku kwetu zanzibar ukijamba mbele za watu utapewa pesa urudie tena!Naukiona twakohowa maana yake twapandisha mzuka ati, na tukivuta pumzi kwa nguvu huwa ndo twavuta hisia, halafu twataka kujuwa hiyo sauti ya kinanda au huwo upepo umetokea wapi, sharti tuone tundu ilotoa huo upepo! Kama utajamba kwa sauti basi pia sie ni weledi wa kujuwa kama hiyo "soda ya kopo" ishawahi kufunguliwa au bado, kwa hiyo huwa twakohowa kutasmini! Yakhe karibu kwa alinato, sie harufu ya ushuzi haitukeri ndio utpayo heri...!

    Sasa kwa nini utumbo muutupe wakati wenyewe twalia ndizi??

    Aka babu wee, watantebul mie...!

    ReplyDelete
  7. Kaka michuzi heshima mbele ila nimesikitishwa na muuliza swali ambaye nimeona kama swali lake jibu analo ila kuna ujumbe alitaka kuufikisha kwa hadhara yako yenye hekima kwa njia ya blog yako. Malumbano na ipp kwenye blog yako kaka hayatatufikisha katika uelekeo ambao tunao mpaka sasa kupitia blog yako ila anataka watu waanze kulumbana humu.Tujitahidi kuheshimu kazi za wengine na hasa tukitambua kuwa kukimbia sio dalili za kuwahi ila ni kufika haraka unakokwenda!Chuja post za watu vizuri zitatuletea malumbano yasiyo na tija.

    ReplyDelete
  8. Kwa mila na desturi za kwetu sio kitu kizuri hususan kwa mwanamme kutoa mashuzi mbele ya wanaume wenzio. kama ilivyo kwa wazungu kwenda mbweo, na ndo utaona wazungu wanapokwenda mbweo mbele za watu huwa wanaomba radhi. Ikiwa kuna mtu aliwahi kukohoa au kuvuta pumzi kwa nguvu wakati ulipojamba haina maana kwamba amefurahia lakini ni njia moja ya mbinu ya kukomesha kitu kama hicho, kwani kuna watu wako sensitive sana na mambo ya kubashiwa

    ReplyDelete
  9. ha ha ha ha ! siku za kuishi zinaongezeka tu...he he he na kujamba nako inakuwa mada..mithupu sasa mh! nisisema nimeze tu nisije nikajamba bure!kisukuma wanaita KUBULA...kingoni KUBUNGULA

    ReplyDelete
  10. eksikiuzi mi i wanna breki ze windi hold yua nozi mbona waghana wanaachia mashuzi tu hazarani anaamsha mguu tu analimwaga mwanaume mzima hana haya lo

    ReplyDelete
  11. HESHIMA!!HESHIMA!!! WE JAMBA TU KIMPANGO WAKO KILA MTU NA LAKE HABARI NDIO HIYO. NGATUNGA TEMEKE.

    ReplyDelete
  12. WOOOOTE HAMJAMUELEWA SWALI LAKE, SWALI LA HUYU JAMAA NI KWAMBA KWANINI MTU AKIACHIA USHUZI HUA ANAKOHOA AU KUVUTA PUMZI KWA NGUVU HUKU AKITOA SAUTI.
    NA JIBU NI KWAMBA ANAKOOA ILI MSISIKIE SAUTI YA KIJAMBO, MTASIKIA TU SAUTI YA KUKOOA HUKU AKIACHIA USHUZI KWA HIYO NI NGUMU KUJUWA NI NANI KAUACHIA MKISHA PATA HARUFU MBAYA.
    VICHWA VIGUMU KUELEWA

    ReplyDelete
  13. we Nautiakasi ni basha? Basi hii pengine si ukumbi wako..tafuta blog ya mabasha..ahsante, kwaheri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...