katibu mkuu wa umoja wa mataifa ki-moon ban akitoa lekcha jioni hii katika hoteli ya movenpick
sehemu wa wadau waliohudhuria lekcha hiyo
JK akiwa na mgeni wake kwa mazungumzo Ikulu

umati mkubwa ulijitokeza kumpokea katibu mkuu wa umoja wa mataifa dar mgeni akisalimiana na baadhi ya viongozi waliojitokeza uwanja wa ndege wa julius nyerere kumpokea
JK na mam Salma Kikwete wakiwapokea katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ki-moon Ban na mai waifu wake Ban Soon-taek Ikulu jioni hii mara baada ya kiongozi huyo wa umoja wa mataifa kutua dar kwa ziara rasmi ya siku mbili. Jioni hii yupo hoteli ya movenpick akimwaga lekcha ya mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na mazingira na uchumi wa dunia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Huyu Sio Raisi wa China, Huyu Fake huyu Serikali si walisema vitu vya China Fake huyu Fake pia hahahaha kutoka kwa Pazi.

    ReplyDelete
  2. Huyu Sio Raisi wa China, Huyu Fake huyu Serikali si walisema vitu vya China Fake huyu Fake pia hahahaha kutoka kwa Pazi.

    ReplyDelete
  3. Mh wabadilishane Tizama Raisi wa China anavyomtizama mama wetu na Mke wa Raisi wa China anavyomtizama Raisi wetu.

    ReplyDelete
  4. Kaka Michuzi..... siku hizi unachapia kwa saana tu huyo ni mai wafu hivyo inakuwa mkewe na siyo mkwe... teh teh teh
    Mr Kim Moon lazima aje atoe shukrani zake kwa JK kwani kama siyo help ya nguvu( kura yetu ) toka Tanzania akisaidiwa na Balozi Mtango huyo jamaa asingeona ndani kwenye hiko kiti .
    Kweli kufa kufaana kwani kwa mara ya kwanza ktk historia naye Bi Asha Rose naye akaukwaa unaibu katibu ..
    sasa Bi Asha asitulazie damu hizo post za United Nation atumwagie sisi wabongo tuumize vichwa vyetu ,tuzikamate sio kwaachia watani wetu wa jadi wakijinoma nazo ... awa englishi iz veri veri richabo from nau
    onwardz and no resistansi .
    Mdau #1

    ReplyDelete
  5. Wimbi la uchumi rasmi lafika Africa.
    Maana makampuni ya almasi ya South Africa yanaingia hasara kwa kutouza bidhaa zao kwenye nchi zilizoendelea.
    Wameanza kupunguza wafanyakazi wengi.
    Sasa kama mjuavyo extended family in Africa, mtu mmoja anategemewa na watu kama kumi au zaidi.
    Sijui itakuwaje????

    ReplyDelete
  6. JAMANI MNONA WIMBI LA WAGENI RASMI LIMEZUKA GAFLA HAPA TANZANIA......KULIKONI?......TUAMBIANE WAZI ILI TUELEWE...........KUNANI TANZANIA?

    ReplyDelete
  7. WACHINA teNAAAAAA??
    haki ya nai vile,,,aya lets see

    ReplyDelete
  8. Watanzania hata mpewe nini hamridhiki, JK alivyokua anaenda nje mlisema sana kuwa safari zimezidi, sasa mnadhani mtu utaenda kwa watu bila kuwakaribisha kwako? sio kila kitu lazima kiangaliwe negatively, vingine what you see is waht it is.

    ReplyDelete
  9. Dogo (6) nakuona siku hizi uko juu, yani unashikana mkono na Ban Ki Moon?

    ReplyDelete
  10. Anonymous wa February 26, 2009 7:06 PM umeona nini? Kwani macho ya Salma yanaangalia nini? Na ya mama Kimun je?

    ReplyDelete
  11. bongo bwana, ukiambiwa ufike kazini mapema unalalamika lakini kwa kupokea wageni...kila sehemu upo

    ReplyDelete
  12. anon wa 5:37 PM, si useme tu kama wewe ni Mrs. (6) hapo juu aka G-ang.

    ReplyDelete
  13. (6) uko UN??naona uko ktk ligwalide/paredi ya kushikana mkono na Ban,,afu uko smati?hahahahaaaa

    Mrs (6) kwani una tatizo gani?utapata tu ubunge siku wala usihofu,nyie jikaribishen-bisheni na JK hana noma wala nini ahahhaaa

    mama salma atumia lugha gani apo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...