Home
Unlabelled
waziri mkuu ziarani ireland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Muheshimiwa rekebisha kiswahili chako. Chuo Kikuu cha University????
ReplyDeletekwakweli waziri pinda ni mtu wa watu ubarikiwe sana!!!
ReplyDeleteukirudi nyumbani wasalimie sana bila kumsahau mzee ruksa
Anony 9:55 pm....inaelekea wewe mgeni katika blogu ya jamii. Hiyo ndo lugha anayotumia Mkuu wa Wilaya ya Tegeta.
ReplyDeleteuniversity college inatoa PHD? Hizo ndizo qualifications tusizozihitaji.
ReplyDeletePHD originator,
Supreme mlimani university aka UD
Jamani "Dr." Joel...Tumekumiss sana Sinza uwiii... Kula Nondo ndugu yangu KILA LA KHERI mwezi wa 6 Mungu akipenda tutaonana... Kwa Afande,Prima,kwa Mae,Meeda,Makongo Juu,Changanyikeni uwiiiiiiii... Magumashiii Group,MAGALACHA'ngwana Shubert,O'gnwana BASUKUMA BOOTE...Na hata AGW...limekumiss UWIIIII WHAABHEEJHA SAAANA...
ReplyDeletemheshimiwa rekebisha tena kauli yako,kwenye picha hiyo siyo kila mtz anakula nondoz ya Phd,kuna hata watu hapo nawajua wanachukua bachelor tu na wengi wao hapo wanachukua masters na nawajua
ReplyDeletepia nakuona kaka wa Bukoba umetuna hapo na mafaili yako ya Phd,hongera kaka,tupigiane simu basi pia nakujulisha nimehama Wales nipo Cardiff sasa
Jina sahihi Michuzi ni Chuo Kikuu cha Chuo cha University College Dublin.
ReplyDeleteMbona kama sura za wengine hazionekani kusoma bali za kusomesha au macho yangu? Una hakika wote wanakula nondoz au wengine wanalisha nondoz? Elimu (ha)ina mwisho...
ReplyDeletemuheshimwa hapo juu naona si mmoja wao, karibu katika blog yetu tukufu,maana ungelijua chuo kikuu cha university.
ReplyDeleteNaona joel umeshakwiva kabisa na baridi... Tumekumiss kwenye Aspro itabidi ifanyike moja kwa ajili yako halafu mbuzi tutakutumia kwa picha...hahaha.... kazeni buti hilo na sisi mwakani ndani ya PhD.. Joan
ReplyDelete`Ngoja nisome vizuri kabla sijasaini, manake unaweza ukasainimikataba feki,...'
ReplyDeleteM3
Jamaa wanaopiga nondozz hapo UCD wananikumbusha mbali sana kwani nami nondozz zangu, nimepiga hapo hapo mwanzo mwa miaka ya 2000. Vipi timu yetu ya mpira UCD bado ipo ligi daraja za kwanza!! au nyinyi na nondozz mpira umeapita pembeni!
ReplyDeleteHuyu ndiye anayefaa kuwa rais wa inchi hii hongera MHE PINDA tupo pamoja
ReplyDeleteSchorlaship za upendeleo ndani, ya apparatus ya government,
ReplyDeleteKwa muda sasa Ireland, ilikua ikitoa scholarship kwa watanzania, lakini kwa muda sasa wote wapokeaji wa scholarship hizo toka 90's ni watoto wa vigogo, au wakubwa serikalini ?
Ni nani ataweza kudeny hilo ???
weye anoy wa kwanza,acha ushamba weye ulikuwa wapi?, hizi ndo lugha zetu huku bloguni, karibu sana.
ReplyDeleteHakuna upendeleo wewote kupata scholarship kwenda Ireland, wewe kama nondozz zako za awali zilikuwa safi na kama eneo unalotaka kwenda kusoma na moja ya maeneo ya ushirikiano baina ya hizi nchi mbili unapata bila tatizo. tatizo la wabongo kuomba scholarship bila kuelewa vipaumbele vya makubaliano kati ya nchi yetu na nchi zinazotoa scholarship. ushauri wa bure.
ReplyDeletesafi sana vijana wadogoooo mko PHD inatia moyo sana,,na wazee pigeni buku tuu
ReplyDeletemkumbuke rudi bongo,,msijilipue au kuzaa na wathungu mbakie uko milele
rudini muendeleze Tz