Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. na hicho ndio kinacho waangusha vyama vya upinzani,ndani ya vyama vyao hakuna demokrasi yani kama ni mradi wa watu fulani hivi,ndipo wananchi wa tanzania ambao sio wajinga wanawatilia shaka endapo wata wapa kura na kuongoza nchi awatakubali kuachia mpaka kwa bakora we waza toka 1995 chama tawala kimebadilisha wagombea na wenyeviti wangapi?siamini kama katika vyama hivyo hakuna wengine wenye uwezo wa kuongoza,watu wanataka mawazo na fikra mpya,wasipo badilika watagombea mpa wafe na hawataongoza nchi kamwe,NENDENI NA WAKATI MWEEE!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. DUUH! YAPUYAPUYAPUYAPUYAPU, EE BWANA EEE...' Unaambiwa jamaa wanaiba kura huku, Unakurupuka kitandani, kufatilia, punde, unasikia `Jamaa WAMESHINDA KWA KISHINDO...' Duuuuuh

    ReplyDelete
  3. Ahsante Kipanya.
    Tunapenda mabadiliko ya kisiasa nchini kwetu lakini wanasiasa wengi,kama sio wote,wanaonyesha uchu wa madaraka kila kukicha.Hawa viongozi wa CUF wamekuwa madarakani kuanzia mwaka 1993 kama sikosei.Leo ni miaka 16 bado wamo tu.Kazi kuhama hama vyama pindi wanapokosa madaraka wanayoyataka.
    Ni rahisi kupiga kelele dhidi ya viongozi wa serikali kuliko wale wa upinzani ilihali hakuna tofauti kati yao.

    ReplyDelete
  4. Jamani siasa ndivyo zilivyo mbona viongozi wengi wa chama tawala wamekuwa ktk uongozi zaidi ya miaka 30 na hatuwasemi? Hawa wa CUF bado hawajaongoza nchi mnawataka waondoke nadhani hawatendewi haki.

    ReplyDelete
  5. Unajua jambo usilolijua ni kama usiku wa giza mana ukikurupuka kwa usingizi unaishia kuropokaropoka tu.
    sasa nyie mlosema hao wapinzani wananang'ania hayo madaraka je upande wa pili wa chama tawala mmeangalia au ndio uCCM umewatawala mpk hamjui mlitendalo mh mamaweeee...waTZ kazi tunayo...
    naungana na mwenzangu hapo juuna eleweni kua wapinzani (CUF) bado hawajatawala..
    Au bora niwape homework jitahidin kujua siasa ni kitu gani ndo mtajua kwanini viongozi wanapenda kunang'ania madaraka iwe from rulling party or opposition side...
    i hope kimdogomdogo mmenielewa
    Nyau nyie kazi majungu tu vibarazani....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...