
* A spacious 5 seater with armrest (extra luggage space... station wagon)
* Manufactured in 1999 with engine capacity of 1998,
* Imported from Japan July 2007.
* CD Player (Changer of 6 at the back & one at the front), Radio, TV Screen
* Airbags, power steering wheel, power window, central lock in system
* AC,
* Reason for sale: current user going away
* Registered, all taxes and duties paid (has insuarance)
* Sold as it is.
Delivery done immediately after payment.
Asking price TZS 11.5million (paid in single installment).
If interested please call or send an SMS to
071 894 2470
between 8am and 5pm.


Sory, I am kind of confused. What do you mean by your statement "Engine Capacity of 1998". Please, elaborate.
ReplyDeleteHivi lady driven ni sifa nzuri au mbaya kwa gari inayouzwa?
ReplyDeleteMdau wa kwanza katika maoni nadhani muuzaji anaposema engine capacity of 1998 anajaribu kutuambia kwamba gari ina engine ya cc 1998 au 1.998 litres.
ReplyDeleteNini Maana ya 'Lady Driven'-ina maana hakuna dume lililoendesha hii gari? Kwani dume likiendesha ni mbaya ama vipi?
ReplyDeleteMusijali, na mimi nimejipatia vijisenti vyangu vya EPA leo ndio maana nina furaha.
ENGINE CAPACITY OF 1998, THAT MEANS CC,(i.e. 1998 CC) DON'T CONFUSE IT WITH YEAR 1998, IT HAS NOTHING TO DO WITH A YEAR 1998, THAT IS JUST A NUMBER
ReplyDelete1998 CC, DONT CONFUSE WITH YEAR 1998 AS THE NUMBER LOOKS LIKE A YEAR.
ReplyDeleteanony wa kwanza hapo juu, acha ushamba. Engine capacity si cc hizo? Au unafikiri engine capacity ni mwaka 1998?
ReplyDeletealafu what does it mean by Lady driven...sex ubaguzi?
ReplyDeleteWhat do you mean "one installment" jamani kingereza kigumu kama ni one payment issue ya installment inakujaje hapo tena
ReplyDeleteMichuzi usinibanie
mdau Houston
roughly 11,000 USD for a 1998/1999 toyota (Nadia)...um...right...there must be some suckers out there
ReplyDeletewee anony wa kwanza mzito kuelewa unadhani aliposema "engine capacity of 1998" kamaanisha uwezo wa injini wa mwaka 1998? je akisema ingine kapasiti ya suzuki escudo ni 1600 utaelewa au akisema ingini kapasiti ya rav4 ni 2000 utampata? usipende kuujaza ukurasa wa michuzi bure jaribu kuuliza kwa mtu aliye karibu yako. vinginginevyo nimekupenda kwasababu usipoelewa kidogo tu unakurupuka kuuliza.
ReplyDelete1998 is CC, is about 2.0 Litre, power of engine, though it is small, this kind of engine is very economical since it uses less petrol.
ReplyDeleteNyie watu mnanishangaza sana. Eti gari alikuwa anaendesha mwanamke? kwani mwanamke si mtu? au akiendesha yeye halichakai?
ReplyDeleteWatu wengine bwana, kwani kuna ubishi kuwa most men are rough drivers? Kwa hiyo migari yao inawahi kukongoroka kwa kuendeshwa ovyo....ambacho hakieleweki on 'lady driven' car ni nini?
ReplyDeleteLady driven manaake ndani utaikuta swafiiii kama mpya vile.
ReplyDeleteNo kikwapa au shahawa zilizoganda kwenye seat covers.
dah jamaa wa Houston,Texas umemkosoa mwenzio aliposema"one installment"na wewe ukachemsha zaidi uliposema"one payment"
ReplyDeleteKwenye kingereza sanifu hamna kitu kama "one payment",kwa vile muuza anasema anauza gari hilo kwa milion 11 na anataka malipo yote basi mdau wa Houston ungemsahihisha jamaa huyo kwa kuondoa 'one installment"na kuweka "full payment" au one payment ni"kichikano" mkuu?
Mkuu wa wilaya usinibanie mwanao wa Bagamoyo mjini,nahisi umenipata!
nyie wote wachovu tu! mimi na mabox yangu niliobeba huku U.S naweza kununua nadia kama izo 10 nikafanya tax! kweli bongo tambarare au mnabisha?
ReplyDeletenimekosa cha kukosoa basi natoka maneke naona wanakosolewa wakosoaji ndo usemi ule wa no body is perfect hahahah
ReplyDeleteKwa kusema kuwa alikuwa anaendesha mwanamke, umeshakosa wateja wa type yangu. Mimi nilipokuwa DSM niliagiza gari Japan 2007 (ya mwaka 2001), nikalitoa na kulitumia kwa muda kabla ya kupata dharura na kuondoka bongo kwa muda. Gari lilikuwa zima kwani nilikuwa nafuata masharti ya kila weekend nalipeleka carwash na kila asubuhi nacheki kila kitu kabla sijaondoka kila baada ya km 2000 namwaga oil. nilikuwa sipiti barabara za madimbwi hata kidogo.Gari ilikuwa bomba kwa miezi 6 niliyotembelea ukimpa mtu anakuuliza umelinunua jana?
ReplyDeleteNilipoondoka si nikamwachia wife, miezi mitano tu niliikuta gari kama ina miaka 5 yaani baadhi ya vitu vimepotea kifuniko cha tank la mafuta, gari inapiga kelele haina grisi, haijapelekwa Service toka niondoke, yaani imekuwa kama gari ya shamba vile
engine ina smoke haina nguvu oil imeungua mpaka ikawa kama maji viscousity yote imeisha. Kumuuliza ananiambia alikuwa anapeleka service na kulifuata baadae anaambiwa lipo bomba, kumba jamaa wanamuwekea oil chafu yeye hayupo. sasa hii inaonesha wanawake ni kwa jinsi gani wasivyokuwa makini ikija kwenye mambo ya utunzaji wa gari. Ila barabarani wanaendesha vizuri sana kupata ajali labda agongwe wengi ni makini katika hilo. Ila ukija kwenye kujua mechanism inayoendelea kwenye injini ni sifuri.
Mimi naweza endesha gari nikajua kuna tatizo kwa kupitia muungurumo wa injini tu ila wanawake ni mpaka injini ikinock au gari ligome kuwaka ndiyo anajua kuna tatizo. sasa ndugu yangu hicho kibwagizo cha "LADY DRIVEN CAR" Kitafukuza wanunuzi makini.
Sold as it is?? No! thats not correct.
ReplyDeleteIt has to be: Sold as is
jamani the car is already SOLD.thanks
ReplyDelete