* A spacious 5 seater with armrest (extra luggage space... station wagon)

* Manufactured in 1999 with engine capacity of 1998,

* Imported from Japan July 2007.

* CD Player (Changer of 6 at the back & one at the front), Radio, TV Screen

* Airbags, power steering wheel, power window, central lock in system

* AC,

* Reason for sale: current user going away

* Registered, all taxes and duties paid (has insuarance)

* Sold as it is.

Delivery done immediately after payment.

Asking price TZS 11.5million (paid in single installment).


If interested please call or send an SMS to

071 894 2470


between 8am and 5pm.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Sory, I am kind of confused. What do you mean by your statement "Engine Capacity of 1998". Please, elaborate.

    ReplyDelete
  2. Hivi lady driven ni sifa nzuri au mbaya kwa gari inayouzwa?

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza katika maoni nadhani muuzaji anaposema engine capacity of 1998 anajaribu kutuambia kwamba gari ina engine ya cc 1998 au 1.998 litres.

    ReplyDelete
  4. Nini Maana ya 'Lady Driven'-ina maana hakuna dume lililoendesha hii gari? Kwani dume likiendesha ni mbaya ama vipi?

    Musijali, na mimi nimejipatia vijisenti vyangu vya EPA leo ndio maana nina furaha.

    ReplyDelete
  5. ENGINE CAPACITY OF 1998, THAT MEANS CC,(i.e. 1998 CC) DON'T CONFUSE IT WITH YEAR 1998, IT HAS NOTHING TO DO WITH A YEAR 1998, THAT IS JUST A NUMBER

    ReplyDelete
  6. 1998 CC, DONT CONFUSE WITH YEAR 1998 AS THE NUMBER LOOKS LIKE A YEAR.

    ReplyDelete
  7. anony wa kwanza hapo juu, acha ushamba. Engine capacity si cc hizo? Au unafikiri engine capacity ni mwaka 1998?

    ReplyDelete
  8. alafu what does it mean by Lady driven...sex ubaguzi?

    ReplyDelete
  9. What do you mean "one installment" jamani kingereza kigumu kama ni one payment issue ya installment inakujaje hapo tena
    Michuzi usinibanie
    mdau Houston

    ReplyDelete
  10. roughly 11,000 USD for a 1998/1999 toyota (Nadia)...um...right...there must be some suckers out there

    ReplyDelete
  11. wee anony wa kwanza mzito kuelewa unadhani aliposema "engine capacity of 1998" kamaanisha uwezo wa injini wa mwaka 1998? je akisema ingine kapasiti ya suzuki escudo ni 1600 utaelewa au akisema ingini kapasiti ya rav4 ni 2000 utampata? usipende kuujaza ukurasa wa michuzi bure jaribu kuuliza kwa mtu aliye karibu yako. vinginginevyo nimekupenda kwasababu usipoelewa kidogo tu unakurupuka kuuliza.

    ReplyDelete
  12. 1998 is CC, is about 2.0 Litre, power of engine, though it is small, this kind of engine is very economical since it uses less petrol.

    ReplyDelete
  13. Nyie watu mnanishangaza sana. Eti gari alikuwa anaendesha mwanamke? kwani mwanamke si mtu? au akiendesha yeye halichakai?

    ReplyDelete
  14. Watu wengine bwana, kwani kuna ubishi kuwa most men are rough drivers? Kwa hiyo migari yao inawahi kukongoroka kwa kuendeshwa ovyo....ambacho hakieleweki on 'lady driven' car ni nini?

    ReplyDelete
  15. Lady driven manaake ndani utaikuta swafiiii kama mpya vile.

    No kikwapa au shahawa zilizoganda kwenye seat covers.

    ReplyDelete
  16. dah jamaa wa Houston,Texas umemkosoa mwenzio aliposema"one installment"na wewe ukachemsha zaidi uliposema"one payment"
    Kwenye kingereza sanifu hamna kitu kama "one payment",kwa vile muuza anasema anauza gari hilo kwa milion 11 na anataka malipo yote basi mdau wa Houston ungemsahihisha jamaa huyo kwa kuondoa 'one installment"na kuweka "full payment" au one payment ni"kichikano" mkuu?
    Mkuu wa wilaya usinibanie mwanao wa Bagamoyo mjini,nahisi umenipata!

    ReplyDelete
  17. nyie wote wachovu tu! mimi na mabox yangu niliobeba huku U.S naweza kununua nadia kama izo 10 nikafanya tax! kweli bongo tambarare au mnabisha?

    ReplyDelete
  18. nimekosa cha kukosoa basi natoka maneke naona wanakosolewa wakosoaji ndo usemi ule wa no body is perfect hahahah

    ReplyDelete
  19. Kwa kusema kuwa alikuwa anaendesha mwanamke, umeshakosa wateja wa type yangu. Mimi nilipokuwa DSM niliagiza gari Japan 2007 (ya mwaka 2001), nikalitoa na kulitumia kwa muda kabla ya kupata dharura na kuondoka bongo kwa muda. Gari lilikuwa zima kwani nilikuwa nafuata masharti ya kila weekend nalipeleka carwash na kila asubuhi nacheki kila kitu kabla sijaondoka kila baada ya km 2000 namwaga oil. nilikuwa sipiti barabara za madimbwi hata kidogo.Gari ilikuwa bomba kwa miezi 6 niliyotembelea ukimpa mtu anakuuliza umelinunua jana?

    Nilipoondoka si nikamwachia wife, miezi mitano tu niliikuta gari kama ina miaka 5 yaani baadhi ya vitu vimepotea kifuniko cha tank la mafuta, gari inapiga kelele haina grisi, haijapelekwa Service toka niondoke, yaani imekuwa kama gari ya shamba vile

    engine ina smoke haina nguvu oil imeungua mpaka ikawa kama maji viscousity yote imeisha. Kumuuliza ananiambia alikuwa anapeleka service na kulifuata baadae anaambiwa lipo bomba, kumba jamaa wanamuwekea oil chafu yeye hayupo. sasa hii inaonesha wanawake ni kwa jinsi gani wasivyokuwa makini ikija kwenye mambo ya utunzaji wa gari. Ila barabarani wanaendesha vizuri sana kupata ajali labda agongwe wengi ni makini katika hilo. Ila ukija kwenye kujua mechanism inayoendelea kwenye injini ni sifuri.

    Mimi naweza endesha gari nikajua kuna tatizo kwa kupitia muungurumo wa injini tu ila wanawake ni mpaka injini ikinock au gari ligome kuwaka ndiyo anajua kuna tatizo. sasa ndugu yangu hicho kibwagizo cha "LADY DRIVEN CAR" Kitafukuza wanunuzi makini.

    ReplyDelete
  20. Sold as it is?? No! thats not correct.

    It has to be: Sold as is

    ReplyDelete
  21. jamani the car is already SOLD.thanks

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...