MGENI RASMI DK. MWINYIHAJI MAKAME MWADINI AAKISALIMIANA NA WACHEZAJI WA TIMU YA MUNDU WAKATI WA UFUNGUZI WA LIGI KUU YA ZANZIBAR KABLA YA KUPAMBANA NA MIEMBENI KATIKA UWANJA WA MAO TSE TUNG JANA AMBAPO MIEMBENI WALISHINDA 2-1. PICHA ZOTE NA MDAU MARTIN KABEMBA
MSHAMBULIAJI WA MIEMBENI YUSUF KUNASA KULIA AKICHUANA NA TAN ALEX WA MUNDU, LIGI KUU YA ZANZIBAR KWENYE UWANJA WA MAO TSE TUNG JANA
KIKOSI CHA MABINGWA WATETEZI LIGI YA ZANZIBAR MIEMBENI
KIKOSI CHA TIMU YA MUNDU




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hiyo picha ya kwanza Mh Waziri ana salimiana na timu ya 'yosso' au ya wakubwa?

    ReplyDelete
  2. alah kumbe ligi kuu ya zanzibar imerudi mao? vipi bado watu wanaparamia kuta na kuchupa ndani kuona game bure?

    ReplyDelete
  3. mchangiaji wa mwanzo kama huna la kusema kwani ni lazima useme? inaonyesha fika si mpenzi wa mpira wa miguu kwani kama unafuatilia usingeliuliza suali la kijinga kama hilo. kwa taarifa yako tu hao watoto wanajulikana kama football mascots sijui kwa lugha ya kwetu tunawaitaje. ukitaka details zaidi google neno mascot.

    ReplyDelete
  4. kaka michuzi asante kwa kutuwekea timu za nyumbani zanzibar,tulizowea kuziona timu kama malindi,small simba,miembeni,kikwajuni,shangani,ujamaa,mlandege,km km na blackfighter ilikuwa uwanja wa amani unajaa watazamaji hasa hasa ikicheza timu kama malindi na wapinzani small simba ilikuwa ni gumzo sana mjini lakini sasa upinzani hakunaa tena.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...