Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Rais wa Ireland, Mary McAleese kwenye Ikulu ya nchi hiyo jijini Dublin kabla ya mazungumzo yao
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe, Tunu (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya pmoja na baadhi ya watanzania wanaoishi nchini Ireland katika hafla aliyoandaliwa Waziri Mkuu, Na Waziri wa Nchi wa Ireland, Peter Power, jijini Dublin
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (katikati) na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Celina Kombani (kushoto) wkaiwa na baadhi ya watanzania wanaoishi nchini Ireland katika hafla aliyoandaliwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi wa Ireland, Peter Power jijini Dublin. Picha na mdau Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri mkuu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. mmependeza sana!!!

    ReplyDelete
  2. wadau hiyo picha ya pili toka juu kuna mtu kama said jaffari assistant lecturer wa ifm ndiye au? from mdau PGDFM 2007/08

    ReplyDelete
  3. mambo ya waziri mkuu,,,sasa mama Tunu vp kwani apo wasikia baridiii?
    pole ona wezio wavovaa vibode suti tuuu
    ila mnalipa sana waTz uko,tutakuja

    ReplyDelete
  4. KWELI PM NA MKEWE WANAPENDEZA! NAPENDA KUFAHAMU, JE SHERIA ZA TANZANIA ZINARUHUSU VIONGOZI GANI KUSAFIRI NA WENZA(SPOUSES) WAO?

    ReplyDelete
  5. Hee! DENNIS LUPIANA, nimekuona hapo chini picha ya pili katikati,hongera sana mimi mamdogo Schola tuwasiliane bwana, msalimie sana mama.

    ReplyDelete
  6. Mh. Pinda tafadhali funga kifungo cha koti lako. Ninavyoona mimi hilo koti ni la vifungo viwili kwa hiyo funga hicho kifungo cha juu.

    ReplyDelete
  7. kufunga au kutofunga vifungo vya koti ni uamuzi wa mvaaji, hakuna sheria wala guidance ya uvaaji wa koti. unless kama unapohudhuria mahali wenyeji wamesisitiza kama dress code ufunge koti hapo ni sawa. Mfano mzuri ni meya wa london Boris pale alipokataa kufunga koti wakati akipanda kwenye jukwaa kupokea bendera ya olimpiki kule china, alisisitiza kuwa hakuna protokoli ya olimpiki inayomtaka afunge koti.

    kwa ufupi ukipenda unafunga usipopenda hufungi.

    ReplyDelete
  8. Eeeeeeeeeeeeee nyie Watanzania picha ya katikati ndio nini kukenua meno nje kiasi hiki au ndo pozi za picha na PM wenu.Mbona nawaona walimu wa IFM wengi kwani chuo cha IFM kimehamia Ireland au zuga tu hii picha. PGDFM-2007

    ReplyDelete
  9. HEEE DENNIS LUPIANA Vibaya hivyo unavyofanyakumbe umeondokambona ukuniaga mpaka mpaka nikuone kwenye mitandao. Bila kuambiwa kama kuna picha huku wala nisingejua. G hapa tuwasiliane kaka.

    ReplyDelete
  10. Hivi huyu dada pembeni ya Waziri mkuu anaitwa ROSE au,kumbe uko ireland tuwasiliane.Aziza K

    ReplyDelete
  11. Huyu aliyechutama katikati anaonekanamsomi sana, lakini ushauri wa bule siku nyengine tumia sijui ni peni hiyo basi iwe hata nyeusiumekuwa kama mchungwa bwana.Suti na kalamu ya njano sio bomba.

    ReplyDelete
  12. heeee!!cousin REnatus Michile nakuona uko juu na mheshimiwa Pinda,am happy 2 c u ur cousins INDIA

    ReplyDelete
  13. heeee!!cousin REnatus Michile nakuona uko juu na mheshimiwa Pinda,am happy 2 c u ur cousins INDIA

    ReplyDelete
  14. anon Feb.28, 2009 6:40pm
    Of all the people in England Boris Alexander is your mentor when it comes to clothes? Very appalling.
    Suit has a protocol and to follow it or not I agree its a personal choice. But, Pinda is a prime minister and he should at least adhere to protocols. No wonder people don't take our leader serious when negotiating contracts with them. Believe it or not clothes speaks very loud of a person character.

    ReplyDelete
  15. Hadi wewe Dennisi uko ulaya kweli shule nzuri kwani hujamaliza ilemasters au ni ya miaka miwili,mimi noah

    ReplyDelete
  16. eeeeeeeeeeeeh ni wewe Isabela? mpenzi wangu wa siku nyingi, yaani isabela naomba basi tuwasiliana, nilikupenda sana basi tu miangaiko ya hapa na pale, bado sijaoa, ningependa uwe mama watoto wangu, yaani unakumbuka jinsi ndugu zangu walivyokupenda! niliangaika lakini wapi, sijamapata aliyekufikia, umetulia, huna mambo ya paparapara, yaani naumia sana, please its me victor and here is my email. vt2000@yahoo.com.

    ReplyDelete
  17. Asante Mungu, Ushukuriwe baba, hatimaye nimekuona tena mpenzi wangu wa kwanza na wa kweli ambaye moyo wangu ulikuchagua na unaendelea kukupenda Denny Lupiana. Mapigo yangu ya moyo nusura yasimame kwani sikutegemea kukuona kwenye blog, hasa kwa siku kama ya leo ambayo nimejaa mawazo. Nimekumbuka kila kitu tulichofanya pamoja nikiwa Tanzania, wewe tukiwa wanafunzi wa chuo. Msalimie huyo anayejifanya ameziba pengo langu wakati wewe mwenyewe unajua halizibiki!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 31, 2009

    Denny...You look amazing. Nipigie japo simu tuongee natafuta namba yako nikupigie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...