Home
Unlabelled
LIGI KUU ZANZIBAR YAANZA RASMI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo picha ya kwanza Mh Waziri ana salimiana na timu ya 'yosso' au ya wakubwa?
ReplyDeletealah kumbe ligi kuu ya zanzibar imerudi mao? vipi bado watu wanaparamia kuta na kuchupa ndani kuona game bure?
ReplyDeletemchangiaji wa mwanzo kama huna la kusema kwani ni lazima useme? inaonyesha fika si mpenzi wa mpira wa miguu kwani kama unafuatilia usingeliuliza suali la kijinga kama hilo. kwa taarifa yako tu hao watoto wanajulikana kama football mascots sijui kwa lugha ya kwetu tunawaitaje. ukitaka details zaidi google neno mascot.
ReplyDeletekaka michuzi asante kwa kutuwekea timu za nyumbani zanzibar,tulizowea kuziona timu kama malindi,small simba,miembeni,kikwajuni,shangani,ujamaa,mlandege,km km na blackfighter ilikuwa uwanja wa amani unajaa watazamaji hasa hasa ikicheza timu kama malindi na wapinzani small simba ilikuwa ni gumzo sana mjini lakini sasa upinzani hakunaa tena.
ReplyDelete