
mtoto sam na wazazi wake wanatoa shukrani za dhati kwa wasamaria wema wote mliotoa michango ya hali na mali hadi kufanikisha zoezi hili ambalo vinginevyo uso wake wote ungemeguka. wanasema hawana cha kutoa ili kuwashukuru zaidi ya asante pamoja na dua kwamba Mola awajaalie maisha mazuri na afya njema
kwa picha na habari yake ya awali
Mungu awabariki nyote!Huu ndiyo moyo wa Kitanzania.Cha kufanya kwa sasa,wazazi endeleeni kumpa malezi mazuri pamoja na lishe bora mwanenu.Pindi atakapo ongezeka mwili na kuwa mkubwa haebu jaribuni kutafuta ushauri wa kitaalamu kuanzi sasa,afikiapo umri pengine anaweza kufanyiwa plastic surgery nyingine ndogo na sura yake ikarejea kabisa katika hali yake ya kawaida.Lakini muhimu kwa sasa aepukane na mavyakula ya nje yenye lots of chemicals and artificial nutrients!Hakuna lisilo wezekana katika sayansi!God Bless You Samwel Nkya,you will be somebody one day!
ReplyDeleteMwenyezi Mungu atampa uzima wake. Bora ungeweka na picha ya alivyokuwa zamani ili wadau waone mabadiliko na ustadi wa hao madaktari...
ReplyDeleteOoooooouph thanks LORD.kwanza kabisa namshukuru mungu juu ya huyu mtoto.pili waganga na wauguzi wote waliowajibika juu ya huyu mtoto tatu watanzania wenzangu wote mlioguswa na kufanikisha matibabu ya Samm MUNGU zidi kumpigania MWISHO wazazi nawashauri mumpeleke kwenye maombi ili azidi kupata uponyaji zaid BWANA ANATENDA BWANA ANAFANYA
ReplyDeleteNAIPONGEZA BLOG NA MICHUZI KWA LIBENEKE KWA KUFANIKISHA OPARATION YA SAMWELI NKYA
ReplyDeletekwani huyo mtoto alipelekwa wapi kufanyiwa huo upasuwaji, india nini? kwani bado hakuna tofauti kubwa, nina uhakika kama angepelekwa viwanja vya maana kwani msingeweza kumtambua kwa kumlinganisha na picha yake ya zamani
ReplyDeleteMbega mweupe
we mbega ni kuku wewe
ReplyDeletealeluja,,,
ReplyDeleteila bado iyo operesheni sura haijakaa sawa-sawa,inawezekana kabisa.
michuzi blogu juuuu,ubarikiwe sana bro