maharusi wakitoka kanisani jioni hii kuelekea photo point kula snepu kisha diamond jubilee
oliver kubaga na mai waifu wake epifania wakimeremeta
maharusi na wazazi wao. pili shoto ni mama bi harusi wakati winga ya shoto ni mzee raphael kubaga na winga ya kulia anapiga mama kubaga pamba kali sannaaaaaa oliver kubaga na mai waifu wake mara tu baada ya kumeremeta

fujo za bwana harusi unaweza kuzipata
http://www.ratiomediaproductions.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mwana Hongereni Sana Mapenzi Kupendana. Wishing You a Very Happy Married Life. God bless!

    ReplyDelete
  2. Hongera bwana na bibi harusi kwani ndoa aina doa ila ni ukweli sio kudanganyana kwa kuishi kiujanja ujanja. Habari ndio Hio!

    ReplyDelete
  3. Haya yakuvaa suit za kufanana na bwana harusi yananikera sana.
    mpaka uangalie mara mbili ndio ujue huyu ndio bwana harusi

    ReplyDelete
  4. Mmependeza ila nawaasa hakikisheni familia yenu inanga'aa pia kama mavazi yenu kwa upendo na kuheshimiana...Itakuwa aibu mara tukisikia mumeanza mambo ya nyumba ndogo....

    ReplyDelete
  5. Maharusi Bwana awe nanyi. Amen.

    Mkuu,

    Naomba uniunganishe na Raphael.

    Asante.

    ReplyDelete
  6. Jamaa anafanana na jamaa mmoja alikuwa kwa Defao then Koffi Olomide & QL Band! Au ndiye yeye kaja kuchukua kitu Bongo?

    Kama siye yeye kweli watu hufanana!

    Anyway, hongereni!

    ReplyDelete
  7. Wamependeza sana ila kwanini watu wote nyeupe wamefanania na bwan harusi hata hujui yupi eeeh .

    ReplyDelete
  8. Mr and Mrs Oliver Kubaga, hongereni sana. Nawatakia maisha mema yenye upendo, uelewano,amani na furaha tele.

    ReplyDelete
  9. Hivi hawa kubaga waliishi oysterbay? je walisoma oysterbay primary pia, this name rings a bell big time. Hongereni

    ReplyDelete
  10. TUNAPENDA KUWASHUKURU WOTE WALIOSHIRIKI KATIKA HARUSI YETU NA MAONI YENU YENYE KUTUTIA MOYO. MUNGU AWABARIKI SANA NA AWAPE HEKIMA NYINGI.

    P.S ANKO MICHU, SHUKURANI ZA PEKEE ZIKU FIKIE KWA KUSHIRIKIANA NASI KATIKA SIKU YETU YA FURAHA. NAOMBA UWAELEKEZE WALE WANAOPENDA KUJUA MAMBO YA UTAYARISHAJI WA HARUSI WAINGIE KWENYE TOVUTI HII http://www.weddingtips4u.net/ IWASAIDIE PUNDE MUDA WAO UTAKAPOFIKA.

    ASANTENI SANA. (MR&MRS O. KUBAGA)

    ReplyDelete
  11. Wedding tips! kama tips zenyewe ni huko kila mtu kuvaa nyeupe wala hatuji bwana harusi ni yupi. haa hizo tip jiwekeeni wenyewe.

    ReplyDelete
  12. wow! nimelipena vell la biharusi umependeza my dear.

    ReplyDelete
  13. USHAURI BURE WEDDING TIPS! WE ANONY UNAYEJIFANYA UNAJUA MBONA HUKUCOMMENT MAPEMA NYAMBAFU

    ReplyDelete
  14. Yaah! hongera bwana. Mlipendeza sana.

    ReplyDelete
  15. Hongera Bw na Bi Harusi Trix 4 life mmependeza sana - very beautiful. KK International Plc

    ReplyDelete
  16. WEDDING TIPS! BWANA HARUSI UNGEVAA LITTLE BIT DIFFERENT AT LEAST KIZIBAO AU TIE. OK. KUVAA SUIT NYEUPE WOTE LAKINI WEWE KIDOGO UNGEJITOFAUTISHA.
    THAT'S MY WEDDING TIPS! NYAMBAVU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...