jisajili mapema, kisha angalia ndiga laivu. usijesema hukuambiwa. mie leo naenda kwenye mnuso wa olive na epifania hapo chini. naomba ofu wadau
Home
Unlabelled
uwanja wa bouke, ivory coast
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TUNASHUKURU SANA KWA LINK HII, HII HAINA ZENGWE HATA KIDOGO.
ReplyDeleteLEO WIMBO WA TAIFA WA TANZANIA NA ZAMBIA UNAFANANA KWA ASILIMIA KUBWA, HIVYO TUTAIMBA NYIMBO ZOTE KIUJIRANI MWEMA KWABLA HATUJAWAFUNGA.
USHINDI DAIMA.
MDAU
MAKULILO Jr,
Hawa sidhani kama wanaonyesha live,labda kama kuna link nyingine
ReplyDeleteMithupu,
ReplyDeleteBwawa la Maini linaelekea kujaa matope, bado dakika 5 na jamaa zako wasipokomaa hizi dakika za majeruhi Liver mtakuwa mmejitoa rasmi kwenye kinyang'anyiro cha Ligi Kuu ya Uingereza!
I'm ron in us -- mdau nashukuru sana kwa link hii -- naangalia game
ReplyDeletethanks a lot
MICHUZI --- thanks as well
fungua hiyo link ya http://www.myafricanfootball.com then SIGN UP, wanakutumia e-mail yenye password unayotumia kufungua na kucheki LIVE.
ReplyDeleteUnachagua mechi ktk ya TZ Vs Zambia au Ivory Coast vs Senegal.Kitu kipi LIVE, mi naangalia hapa...na nimefungua two windows, hivyo naona zote mbili kwa wakati mmoja, ya Tanzania, na pia ya Ivory Coast...kote bado ngoma draw, na ni half-time
MAKULILO Jr
Michuzi naomba matokeo ya mechi ya Liverpool na Boro maana mie sina TV!
ReplyDeletewajameni hiyo link mbona haina dezo?wengine ha2na vijisenti sasa hapo itabidi tusikilize redioni tu.teh teh!!!!!
ReplyDeleteBwana MICHUZI asante sana!
ReplyDeleteLeo kwa mara ya kwanza maishani nimeweza kuiona TAIFA STARS ikicheza live!
KWA SASA SITATOA MAONI YANGU JUU YA WACHEZAJI LAKINI NAKUSHUKURU KWA KUNIWEZESHA KUONA!
sorry wadau,kumbe uki-ignore mambo ya vijisenti still unaweza kuona game live.thanks Midikodiko kwa link hii.
ReplyDeletehttp://www.africanhive.com/home/tz_zam.html
ReplyDeletemdau Makulilo naomba utupatie matokeo.
ReplyDelete1/8th final round
ReplyDeleteGROUP A
02-22-2009 Cote d'Ivoire 0 - 3 Zambia
02-22-2009 Senegal 1 - 0 Tanzania
02-25-2009 Zambia 0 - 0 Senegal
02-25-2009 Tanzania 1 - 0 Cote d'Ivoire
02-28-2009 Cote d'Ivoire 0 - 0 Senegal
02-28-2009 Zambia 0 - 0 Tanzania
Group A
Team MP W D L GF GA GD Pts
Zambia 3 1 2 0 3 0 3 5
Senegal 3 1 2 0 1 0 1 5
Tanzania 3 1 1 1 1 1 0 4
Cote d'Ivoire 3 0 1 2 0 4 -4 1
bila bila mechi zote tunarudi nyumbani, hata hivyo vijana wamejitahidi sana
Tanzannia 1 zambia 0
ReplyDeleteN'gombe wa masikini hazai kwa kweli
ReplyDeletedakika ya 88 shadrak nsajigwa kapiga bao kwa penati...le's hope stay the same...
ReplyDeleteTembelea www.lsport/ly or www.goalzz.com
ReplyDeleteleo najua hatupati habari yoyote.... usijali kaka michuzi bado game zipo nyingi... BWAWA LA MAINI OYEEEE...hahahaha
ReplyDeleteshukrani sana kwa link hii ilikuwa imetulia hasa...
ReplyDeleteMdau
Thessaloniki
mwana wa mbuzi ..............,kisicho riziki...........,sikio la kufa........and many more phrases might be said lkn vijana wamejitahidi kadri ya uwezo wao "kibongo bongo".
ReplyDeletesijaangalia kandanda ya Africa for some years lkn kama game zingine ndo zinachezwa kama hii basi Africa kazi tunayo.si kwamba ni Staz pekee bali hata Zambia wako hovyo.ktk dkk 90,nadhani jumla ya dkk takriban 30 zinapotea kwa mipira kuwa nje(goli kiki,kona,kurushwa) na hapo bado fouls.
yani game ilikuwa inachezwa "kimchangani" mno.
Wadau, mbona huku Dublin tumejisajili lakini hakuna game wanasema video haipo available tucheck time?Makulilo Jr umeipataje mwanawane?
ReplyDeleteZambia 1 Tanzania 1
ReplyDeleteSenegal 0 Cote De Voire 0
Senegal na Zambia wasonga kwa pointi 5 kila mmoja na Tanzania kupata jumla ya pointi 4.
Source: CAFonline.
Aaaaaah poleni vijana wa JK. Habari ndio hiyo. Inabidi tuwe wapole tu maana Mungu wa Wazambia ndio Mungu wetu sote. Leo zamu yao kuingia 1/4 fainali, sisi zamu yetu michuano mingine.Bado tuna safari ndefu ya kujifunza.
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Lack of experience in tactics..Maximo alistahili kutomaliza substitutions zote ili kipindi kama cha dakika zile 5 za nyongeza angepata muda wa angalau kupoza mchezo kwa kufanya mabadiliko.
ReplyDeleteTumemsindikiza njiwa hadi karibu na banda,bahati mbaya tukajaribu kama anaruka au haruki!kilichotokea....
But all in all,congratulation Maximo and squad yako,wadhamini,na wadau wote,hakika bahati haikuwa yetu.Tusikate tamaa huo ni mwanzo tu, progress is a slow process, next time we will do, no trial anymore!
NB
Hakuna kizuri kisicho na kasoro,kila mtu ana haki ya kupongeza na kutoa kasoro,so wale watakaomtoa kasoro Maximo ruksa, wale watakao msifu ruksa pia. Cha muhimu watanzania ni kuelewa kwamba wanaosifia na wanaotoa kasoro wote wanamapenzi mema, na leongo lao ni kuboresha!
You can work alone! unless there is no Middlesbrough along the way with Tuncay weapon! bang!
dah! kweli mpira ni hadi umalizike yaani draw imetutoa , mpira umekwisha na TANZANIA 1 na ZAMBIA 1,imeniuma sanaaa
ReplyDeleteMichuzi leo anauguza kotekote, ila ndiyo mpira huo. Liverpool katungwa na starz tumeaga mashindano kiulaini kama tunanawa vile
ReplyDeletewadau habari zenu
ReplyDeletewell stars wamejitahidi sannna... na ninaamini kwamba from the performances that we showed during our short stay in Ivory Coast, wachezaji wataenda nje....
Mdau
bwawa la maini
Staz leo wamecheza kama Livarpool na ndo maana wameshindwa kutoka na ushindi.Zambia deserved it,ingawa nao bado wapo wapo 2.
ReplyDeleteBwawa la Maini, Hovyooooo!!!!!!!Atleast Rick Parry will leave hivyo msimu ujao tutasajiri wale wenye akili timamu na kuwauza kina Kuyt Mdebwedo.
"LFC 4 LIFE"