Home
Unlabelled
pleti namba za bongo zapendeza siku hizi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i can see the T224 aka TRRA-ASS there..
ReplyDelete((( SHAKE it )))
= = =
Buffalo,
New York (kule ndege ilipodondokaga na kuungua)
we michuzi kweli fyatu!!yani katika namba zoote umeiona hiyo tu?mdau kringsjå
ReplyDeleteMichuzi ujumbe umefika,Unatuonyesha number za GARI yako mpya,Usitunyime lift tu
ReplyDeletekaka michu, sio plate number jamani ni number plate.
ReplyDeletehahaha sisajili gari mpaka hiyo ASS ipite
ReplyDeleteSidhani kama TRA wangeweza kufanya makosa ikatokea combination ya CUF, au chama chochote cha ukinzani.Just joking anyway....
ReplyDeletePoor programming, system inaweza kuambiwa isikubali combanation zenye connotation ya matusi, hata kama kisingizio kitakuwa watu wengi hawaelewi, lakini then elimu mliyopata darasani haiwasaidii, au tuseme hata common sense imeenda likizo.
Anyway, hii gari ni maarufu sana mitaa ya Dar, ilikuwa ikitumiwa na mtangazaji mmoja wa BBC katika shughuli zake.
MICHUZI, TUNAJUA ULIKUWA UNATAKA KUTUAMBIA NINI, UJUMBE WALA SIO PLETI NAMBA WALA NINI.....UJUMBE NI HILO TAKO UNALOLITANGAZIA LOL
ReplyDeleteTUNAKUSAMEHE...MJUMBE HAUWAWI!!
Shabiki wako # 1 Maryland.
Mhhhh,Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii,kama issue ni nummber plate,mbona zipo tangu kipindi,hata weye wa jua hilo.Sema ulitaka tusome maana ya kifupi hicho kwa lugha ya mama.Mhhh mi simo.
ReplyDeleteHa ha ha michuzi uchokozi huo...! naona plate number kuna neno kwa tafsiri ya kiswahili aka kimatumbi chetu!lina maanisha "SODA YA KOPO" au wengine waita "kisamvu cha kopo" kwa wale maulamaa twaita "JICHO"
ReplyDeletedaaaah itabidi turudi bongo ila mi langu nitataka liwe na mbo
ReplyDeleteAss may refer to:
ReplyDeleteAss (animal) or donkey
Asinus subgenus
American English colloquialism for buttocks (and other derived meanings)
Same as arse (British spelling)
Áss, the Old Norse for "deity"
Ass (album), by Badfinger
ASS may stand for:
ASS (car), a French car made from 1919 to 1920
ASS (gene), a human gene that encodes for the enzyme argininosuccinate synthetase
Acta Sanctae Sedis, a former Roman monthly publication and gazette of the Holy See
Advanced SubStation Alpha, a subtitles editor in computing
American Sociological Society, the founding name for the American Sociological Association
Angle-Side-Side, a faulty proof in mathematics
ASStakafulilahi!
ReplyDelete8.36 acha english za dictionary michuzi hajakosea
ReplyDeletemimi naona kuliko kutangaza bendera wangeweka matangazo ya awareness e.g awareness ya ukimwi, breast cancer etc etc....ukiona bendera hiyo barabarani itakukumbusha nini?
Misupu hujatulia inabidi tukupepee
ReplyDeleteHaki ya nanihii nilikataa hiyo no plate nikawaambia nitasubiri ingine itoke walinishangaaaa ...hawakuelewa kwa nini nilikataa
ReplyDeleteHIYO ASS NI MWANZO TU, HIZO ZITAKAZOKUJA BAADAE mmmmmm, ITABIDI ZIFUNIKWE VITAMBAA NA KUZIONESHA ZINAPOHITAJIKA TU.
ReplyDeleteWe Anonymous wa 9:47 PM Hilo mbona kama haitakuwepo kwani system hapa haitambui I wala O hivyo umeliwaaaaaaa!! Labda uchagua MBP au MBN Ha ha ha haaaaaaaaa
ReplyDeleteSasa mkiona delivery van za posta zilizokuwa branded in big letters kifupi cha City Urgent Mail ndio mtajua shule sio kuingia darasani!
ReplyDeleteHakuna shida hapo tatizo ni mawazo yetu ya fasta kuelekea bondeni na si kukwea juu chamsingi ni kuwa herufi hizo zahitajika kutamkwa moja moja na si kwa mfululizo hivyo ili mhalalishe mnachokitaka.hata ikija KEI YU EM mataosha vinywa tu!!!!!!!
ReplyDeleteshake well,,,,lalalalaaa tililili
ReplyDeletemichuzi tumeKUNYANYULIA MIKONO,,haki ya vile hujatulia,uko ivo adi kule kunaniikoooo
wadau leo mmeamua kuchafua hewa umu
hahahahaaaa teh teh teh
Sasa ndugu yangu nini ASS,hiyo ni tisa, kumi utakuta kwenye folen ya magari la kwanza,ALY au ANA,la pili ATE la tatu ASS !!!!!!
ReplyDeletePia Pale KIA (Airport) kuna gari moja ya precision air pia wamejaaliwa kuwa na namba hii.
ReplyDeleteIVI MICHUZIIIII MBONI HUKUJIBU ILE SWALI YETU YA PICHA FULANI IVI UKIWA ZENJI KTK TAMASHA LA NGOMA/MUZIKI SIJUI "ukinywa juisi ya muwa" na "mtoto ktk pozi la mugongo-mugongo"pembeni,uku sura yako ikiwa imepambwa kwa tabasamu la ushindi/bashasha.
ReplyDeletena hii ASS jee,unataka tufanyeje?twende bondeni au??
VIPIIIIIIIIIIIIIIII???
Mimi kidogo ninamawazo tofauti.
ReplyDeleteNasikia hii ni biashara ya mtu binafsi na ni kampuni hiyo tu ndiyo inatengeneza.
Kwenye nchi nyingi hiyo kazi hufanywa ktk jela na mapato huwa yanaenda kwenye kitongoji/mji kwa manufaa ya walipa kodi kama kurekebisha barabara na madaraja.
hivi wewe m2 michuzi mbona mimi kila nikituma comment zangi huzitoi?
ReplyDeletekampuni ya kagoda+kiwira+
ReplyDelete