JKT ya Dar ilinyakua ubingwa kwa wanawake kuibugiza Bima ya Uganda kwa mabao 36-35 na kuwavua ubingwa. Polisi Zanzibar waliifunga Msambweni bao 37-22 na kutwaa ubingw wa wanaume.
Home
Unlabelled
Polisi Zenji na JKT Dar wanyakua ubingwa wa netiboli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii ya Wazenji madume kushinda netiboli imekaaje wajameni?
ReplyDeleteKwani Arsenal Ladies wanavyoongoza ligi ya futiboli ya wanawake au Uchina na Marekani zinavyowika kwenye soka la kike imekaaje? Dunia hii patasote hii.
ReplyDeleteAnon wa kwanza, hiyo haijatulia hata kidogo.
ReplyDeleteHakika ninahitaji kuelemishwa.. hii ya wazenji kushinda "NETBOLI" wanaume ikoje haswa!!!.. Kwa uelewa wangu kwamba mpira wa pete ni wa akina mama sasa hii pete ya akina baba ilianza lini??? Ama hii ni staili ya Zenjibari tuu!!??? ...(dRU)
ReplyDeleteTatizo naona sport ni kitu gigeni kwa wengi wetu bongo, netiboli ni mchezo wa kawaida kuchezwa na wanaume kama michezo mingine yeyote Dunia nzima hapo hakuna cha kushangaza.
ReplyDeletewacheni ushamba ndomana tunakuwa nyuma vitu vingi sana. Uganda Kenya wote wameshiriki na TAnzania bara. Mie mtu wa Bara ila Comment kama hii ilitolewa UK,england wakawa wanasema Basketball na Netball is a Women Sports sababu American Man walishinda Netball hivyohivyo. UK wakaambiwa mbona wanaume wengi hawachezi netball na Basketball wakawa wanasema wanaona kama Women Sports ila Sports ni Sports kuna utengano tu ubavu mmoja watacheza wanawake mmoja wanaume. John.
ReplyDeleteUniversity of Queensland, Australia.
ReplyDeleteThis article provides a textual analysis of selected media representations of men's netballers in New Zealand, an analysis of interviews with members of the Otago men's netball team, and a brief description of the author's participant-observation research in this area. The article discusses and challenges stereotypical representations of men who play netball — a sport originally designed specifically for women, and historically dominated by women — as either effeminate or gay cross-dressers. While the idea that men's netballers are perverse `gender-benders' remains widespread, the increasing popularity of social mixed-gender netball, combined with the determined efforts of established men's netballers, is beginning to challenge popular preconceptions. Men's netball provides recreational opportunities for both men who subscribe to hegemonic definitions of masculinity and for men who espouse more marginalized masculinities. Some evidence even suggests that despite altercations between homophobic Otago players and `queer' players from other teams during the 1990s, men's netball has actually provided opportunities for some players to challenge homophobia.
Key Words: gender • masculinities • media • netball • New Zealand.
Sipendi kuona wanaume kucheza netball ila wakiona sawa waacheni ni sports kila mtu na uhuru wake. from Hashim.
semeni mtakavyo ila kumbukeni kwa taarifa yenu tu na tanzania bara pia walitia timu yao ya wanaume katika mashindano ya netiboli. na kama alivyosema mtoaji mmoja hapo juu, duniani kuna timu za football za wanawake na sasa wanaume wameamua kuanzisha netiboli za wanaume, ingawa sijui kama wanavaa viskatin na kuruka kama akina dada ha ha ha haha
ReplyDeleteok ok washkaji, nimependa namna baadhi ya wadau walivyochangia mada hii. mimi sijawahi kuona wanaume wakicheza netball hadi naondoka tanzania, kwa hiyo suali langu linakuja namna hii, kweli wanawake wanacheza football, rugby, basket ball na hata nimeona american football katika tv. lakini katika michezo yote hiyo wanafata sheria zote za michezo ikiwa pamoja na vivazi kuanzia viatu hadi fulana, jee wanaume wanapocheza netiboli huvaa vile viskati vifupi na vipande vya nguo vyenye nambari kwenye fulana zao? sishangai kuwa wametokea wanaume kucheza netball ila i have to say they are very very brave men. ni sawa na mwanamme kuvaa sketi eti tu kwa sababu wanawake wanavaa suruali.
ReplyDeleteHuyu mtoa mada wa 17 Feb saa 3:18pm ni mwanabusara hasa.
ReplyDeleteKwani hata mimi nijuavyo, si kila mwanaume yu tayari kuiga yafanywayo na wanawake.
wala sidhani kama ni hoja ya busara kudai kuwa kwa kuwa wanawake wanafanya hili linalofanywa na wanaume, basi na wanaume watafute linalofanywa na wanawake waliige.
sidhani kama hiyo ni natural.
Ila dunia hii ni ya hiari, na sasa imekuwa ulimwengu ni mdogo mno, tamaduni zimechanganyika baina ya jamii mbali mbali.
Maana sasa hatushangai tena kusikia kuna BWANA mmoja ameolewa kanisani na watu wengi wamehudhuria. Inabidi tukubali tu yaishe, japokuwa ukweli ni kwamba akili inashtuka!
Haya wenzetu, wanaume endeleeni tu kuiga yanayofanywa na kinadada. Wao si wanaiga mnayoyafanya?
Ulimwengu wa mwisho huu wazee wanatwambia!
Mndengereko, Ukerewe