bi kidude akiimba kwenye tamasha la sauti za busara ngome kongwe, zenji, usiku wa kuamkia leo
ngome kongwe inavyoonekana usiku wakati wa sauti za busara
ngome kongwe jioni



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. first class passenger, nimeiona hiyo

    ReplyDelete
  2. Naona MADODO ya kumwaga.

    Hope WAVUVI wenzangu

    wataniwakilisha mwaka huu.

    Bongo tambarare ;))

    ReplyDelete
  3. First class passenger for first class citizen heheh ipo kajamba nani yetu hapooo i wonder una manage vp mtandao wako manake mie kila nikigusa pc yangu mke lazima achonge we kila saa upo wewe na laptop huna hata time na sisi noma tupu hata usiku mtu akichelewa kulala same stori hizi pc zitasababisha tuachwe manake imekuwa kama mke wa pili.

    ReplyDelete
  4. Hivi jamani Tamasha la Sauti za BUsara Hii imependeza lakini, hongera waandaaji

    ReplyDelete
  5. hee huyo bi kidude bado anaimba tu!!! eeeh haya tumwachie mungu mwenyewe mana nikiongea sana hapa ntaambiwa "uosama" unansumbua kumbe hatujui kumkumbuka mungu na umri wote huo alokua nao.
    salamaleko walai....

    ReplyDelete
  6. 1st class passenger kwa nje sio?

    Ingia ndani basi kama una jeuri hiyo!









    ---
    (Just kidding... najua uko juu)

    ReplyDelete
  7. huyo anaesema bi kidude bado yuko alitaka ajifungie ndani. yaane kwake mtu akizeeka asitoke hazarani. huyu bi kidude ninamvulia kofia kwa kufika umri huo na kuweza kuimba. huyo mama mungu amemjalia maisha marefu na afya nzuri. bi kidude angelikua anaishi kwenye nchi zilizoendelea angekua anaeshimiwa sana na angelikua anapata special awards. watu wengine sijui wana matatizo gani au pengine wana ugonjwa wa kukashifu. BI KIDUDE MUNGU AKUZIDISHIE MAISHA NA AFYA NZURI ILI UZIDI KUTUBURUDISHA. umeishi na kuona mengi kwahiyo huna haja ya kuwasikiliza watu wenye akili ndogo.

    ReplyDelete
  8. Hongers Bi Kidude nasikia aliimba vizuri sana na Bi Mariam Hamdani namuona anapiga ghanoun na nasikia aliipiga vizuri sana. Hii ni historia Mariam ni mwanamke wa kwanza kupiga ghanoun afrika mashariki na sehemu zingine afrika

    ReplyDelete
  9. michuzi hii picha ya mwisho una hakika ni zenji? naona msururo wa wazungu na rangi yeti ni wa kuhisabu kabisa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...