Home
Unlabelled
sauti za busara mwaka huu balaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
first class passenger, nimeiona hiyo
ReplyDeleteNaona MADODO ya kumwaga.
ReplyDeleteHope WAVUVI wenzangu
wataniwakilisha mwaka huu.
Bongo tambarare ;))
First class passenger for first class citizen heheh ipo kajamba nani yetu hapooo i wonder una manage vp mtandao wako manake mie kila nikigusa pc yangu mke lazima achonge we kila saa upo wewe na laptop huna hata time na sisi noma tupu hata usiku mtu akichelewa kulala same stori hizi pc zitasababisha tuachwe manake imekuwa kama mke wa pili.
ReplyDeleteHivi jamani Tamasha la Sauti za BUsara Hii imependeza lakini, hongera waandaaji
ReplyDeletehee huyo bi kidude bado anaimba tu!!! eeeh haya tumwachie mungu mwenyewe mana nikiongea sana hapa ntaambiwa "uosama" unansumbua kumbe hatujui kumkumbuka mungu na umri wote huo alokua nao.
ReplyDeletesalamaleko walai....
1st class passenger kwa nje sio?
ReplyDeleteIngia ndani basi kama una jeuri hiyo!
---
(Just kidding... najua uko juu)
huyo anaesema bi kidude bado yuko alitaka ajifungie ndani. yaane kwake mtu akizeeka asitoke hazarani. huyu bi kidude ninamvulia kofia kwa kufika umri huo na kuweza kuimba. huyo mama mungu amemjalia maisha marefu na afya nzuri. bi kidude angelikua anaishi kwenye nchi zilizoendelea angekua anaeshimiwa sana na angelikua anapata special awards. watu wengine sijui wana matatizo gani au pengine wana ugonjwa wa kukashifu. BI KIDUDE MUNGU AKUZIDISHIE MAISHA NA AFYA NZURI ILI UZIDI KUTUBURUDISHA. umeishi na kuona mengi kwahiyo huna haja ya kuwasikiliza watu wenye akili ndogo.
ReplyDeleteHongers Bi Kidude nasikia aliimba vizuri sana na Bi Mariam Hamdani namuona anapiga ghanoun na nasikia aliipiga vizuri sana. Hii ni historia Mariam ni mwanamke wa kwanza kupiga ghanoun afrika mashariki na sehemu zingine afrika
ReplyDeletemichuzi hii picha ya mwisho una hakika ni zenji? naona msururo wa wazungu na rangi yeti ni wa kuhisabu kabisa!
ReplyDelete