Home
Unlabelled
solomon na consolata wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereeni sana Maharusi,mkajenge familia.Nina experience ya miaka 7 kwenye ndoa,tena hizi za makanisani.Dada "Conso" inabidi uwe na uvumilivu kwa mume wako kurudi usiku,usiwaze kwamba sijui alikuwa wapi...!Suala la kurudi usiku kwa wanaume linaleta vurugu sana majumbani(Usiku nina maana kabla ya saa sita usiku!).wanaume tunakuwa "tunaongea" mara nyingi huko bar,restaurants.Naishia hapo najua 'wadada' na 'wamama'hamtapendezwa na comment yangu hii.
ReplyDeleteHongera sana maharusi mmependeza ile mabaya nawafagilia wawaaaa..........Matron nimekukubali siyo Kanaeli wa MOI Muhimbili kweli? All the best guys
ReplyDeletematron nimependa mshono naweza pata namba ya fundi aliekushonea na jina lake...pia nimependa ukumbi ulivyopambwa naweza pata namba ya mpambaji please coz nina mpango wa kufunga ndoa july na bado sijapata vitu vyote ivo....yaani kwa ujumla harusi imependeza kinomaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteBody language hapo inasemaje?
ReplyDeleteMdau #4...umenigusa...jamani wanaume wa kitanzania learn kuonyesha affections in public...yaani utasema hawajuani mpaka inaboa....0 chemistry
ReplyDeletemkuu wa wilaya ya nanihii usinibanie
Nahisi wewe David ni msomi wa kitabu tu, tena you've probably travelled and seen alot in this world. Lakini despite kutembea kwako kote bado unanangania your backward culture were women stay at home, cook, clean and wait for your backward (tz plate number) to get back home at 12:00 am.
ReplyDeletemdau uliependa mshono wa matron mi sijui kashona wapi lakini kuna dada anaitwa jesca yupo maeneo ya haidery plaza jirani na metro fashions anashona nguo bomba sana zaidi ya hizo. no yake ni 071333179 bei zake kuanzia 65 elfu.
ReplyDeletebody language,,,
ReplyDeleteweshazoeana ao ni km wanabariki tuu ndoa sema vijisent viliwawasha
siku izi watu wanaishi kwanza weee later wafunga ndoa
annon #1
ReplyDeleteao wa aina iyo ni vikongwe now au weshakufa longiii.sahau
SASA IVI HAWAKAO WANAWAKE WA AINA IYO NA VIZAZI VIJAVYO KUANZIA NOW
kwa taarifa na kumbukumbu kwako.
ni hayo tu.
annon #1
ReplyDeleteni mkeo tuu wa miaka iyo 7 ndo anaweza usi-generolaiz watu apa
ivi ndo ina "experience?"kwamba mwezio ndo keshakuzoea na maloloso yako au? mbona ndoa zina miaka 20/35 watu wanaachana
kaaazi kweli
Jamani milipendeza sana , keki yenu nzuri kweli naomab number ya aliye watengenezea hiyo keki jamani
ReplyDelete