GEMU SASA NI MAPUMZIKO NA TAIFA STARS WAKO MBELE KWA BAO 1-0 DHIDI YA IVORY COAST....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Wajina naomba wawekee watanzania link hii

    http://www.tvchannelsfree.com/watch/6241/RTS1-Senegal.html

    Mdau Davey Road

    ReplyDelete
  2. hivi na zambia vs senegal matoke yalikuwa vp mungu wasaidie vijana wanajitahidi nipo nipo nangalia matokeo toka kwako streaming kwangu inazengua mdau stellenbosch

    ReplyDelete
  3. Bwana Michuzi unastahili pongezi nyingi mno kwa blogi hii lakini "HAFTAIMU' haipendezi...

    ReplyDelete
  4. Let's beat the hell of those west African. They always think that East African don't play soccer. I think team is playing good espeacially in the mid fild, big up to Nurdin, Hendry but forward need a little beat concetration. I think we are going to win this. GO Taifa Stars!

    ReplyDelete
  5. Let's beat the hell of those west African. They always think that East African don't play soccer. I think team is playing good espeacially in the mid fild, big up to Nurdin, Hendry but forward need a little beat concetration. I think we are going to win this. GO Taifa Stars!

    ReplyDelete
  6. michuzi mbona hawa jamaa wametukatia matangazo ya mpira? au sababu tumeshinda? taifa star oyeeweeeee
    JK BOYS ngoma juu
    NORWAY

    ReplyDelete
  7. NAONA LINK ZOTE TULIZOZITEGEMEA,MARA BAADA YA HALFTIME HAWAKUENDELEA KUONYESHA. HOPE MAMBO YATAKUWA SUPER.

    ReplyDelete
  8. Jamani Hii Haftaimu haiishi Tu? Dk 40 siku hizi ?? Au kwa vile jamaa wamepigwa bao ndio wamefunga/zuia mawasiliano ?!

    ReplyDelete
  9. wapi hili gamelinaoneshwa mbona wamekata hizi channel michuzi vp tusaidieeeeeeeee tuone washinzi mawest wamezima tv tusiwaone JK BOYS

    ReplyDelete
  10. Hilo linarudishwa na mtafungwa la pili kudadadadadeki! Hiyo sio Timu ya Tanzania ni timu ya Tanganyika!

    ReplyDelete
  11. MZEE MICHU MBONA ATUONI GAME KWENYE HIYO LINK!?? MI NAONA MIZIKI TU..TUNAOMBA UTUWEKEE LINK YENYEWE MKUU THANX!!

    ReplyDelete
  12. Linki imenionyesha mdundiko wa Kiaivoria tu. Nimetumia dk 45 za kipindi cha pili kuhaha kutafuta sehemu ya kuona mechi bila mafanikio. Vipi, tumewawesha?

    ReplyDelete
  13. Tanzania Imeshinda kwa bao moja. Home page ya CAF wameshaweka matokeo. Tanzania angalau tumeweka matumaini juu> Nawapa vijana wetu Hongera Saanaaaa!!!

    ReplyDelete
  14. JK BOYS NDIO MABIGWA WA CHAN 2009 NI MIMI
    HAKIM MICHUZI NIWEKEE ZAWADI KWA UTABIRI WANGU

    ReplyDelete
  15. Itabidi tuwafunge Zambia kibolo kimoja ili tuwe na pointi 6. Senegal lazima watawafunga hawa Wakodivaa ambao inaonekana ni nyanya kabisa. Tutashika nafasi ya pili, mambo mbele kwa mbele.

    La msingi ni kwamba kila dakika moja inayoenda kwa Mola, ndani ya mchezo huo, sisi tumeshatoka. Ni pale tutakapofunga bao tu ndio tutasonga mbele. Kazi ngumu.

    Nimeongea na washikaji mjini Abidjan na inaelekea Maximo ana matatizo fulani ila watu wanaogopa kumwambia, wanabaki kuugulia tu. Kila mtu anauliza kwa nini Chuji hachezi? Huyu ni kiungo mfungaji jamani!!!

    ReplyDelete
  16. Chuji hakufanya mazoezi na timu ya taifa alikuwa ameumia na mapaka sasa hayuko fiti. Hata safari ya Yanga hakwenda, kwenda Ivory Cost amebebwa tu, wenzake wote waliokuwa wagonjwa wamechwa. Na mastaa wote wasiokuwa na msaada kwenye timu Maximo ameahidi kuwatimua wamfuate mwenzao Kaseja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...