Home
Unlabelled
wanja la neshno jipya lafunguliwa rasmi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Namheshim sana H.E William Mkapa. Amefanya mengi japokuwa kulikuwa na wizi mwingi wa mabilioni ya pesa. Je huyu J.M. Kikwete atatuachia nini baada ya ufalme wake kwisha? I have doubts in my mind kuwa kufikia kiwango alichofikia Mkapa inaweza isiwe rahisi sana. Sijui wenzangu mnasemaje.
ReplyDeleteDUh! Serikali imevumiliaaaaaa weeeeeeeee! wameona haitoshi kuwa uwanja wa michezo tu? lazima tuweke na wana gwaride wetu waje kuharibu uwanja majani. Sasa wana Gwaride wa Jeshi wataanza kutuharibia sasa. Ule Mdo kiasi uwe Uhuru manake uliteseka sana sasa Umekuwa Uhuru. From JAmes wa Arusha.
ReplyDeleteSafi sana, ni imani yetu uwanja huu utatunzwa vizuri na kutumika ipasavyo na hii ni pamoja na vyoo kuwa safi wakati wote!. Ili kuleta mabadiliko katika mpira wa miguu na riadha uwanja huu ni muhimu. pia ni vizuri kwa serikali na hasa wizara ya michezo kuunadi uwanja huu kimataifa, ili angalau baadhi ya nchi zipige kambi Tanzania wakati wa kombe la Dunia huko afrika kusini 2010. Na hili linawezekana kwa ushirikiano wa wizara ya utalii na wadau wengine wa michezo na wafanya biashara.
ReplyDeleteBora hilo jina ambalo ni general kuliko la mwanzo,BWM stadium! NA uhuru stadium imekaa vizuri pia na si jina la mtu...Na hata Dar ingewezekana watoe majina ya watu kwenye barabara zoooooooote na waweke namba tu.Hii inakuwa vizuri hata mtu usipokuwepo mjini ukirudi unakuta mtaa/barabara ni namba ile ile kulikoni kutumia mara bagamoyo,mara ali mwinyi road........ confusion tu.
ReplyDeleteMichuzi, mbona mwabania matokeo ya Yanga kucharaza mtu bao 6 bila??
ReplyDeleteNi ujinga hili bango kuandikwa Kiingereza, mbona wao wameandika Kichina. Pumbavu sana sisi Watanzania. Nani atatetea lugha yenu?
ReplyDeletemaoni yangu hilo wanja lingeitwa Mkapa stadium,huyu rais anamapungufu yake alipokuwa madarakani lakini ana mafanikia yake pia,kwa heshima yake tumuenzi tuache fitina kwenye ukweli tuukubali.
ReplyDeleteWadau nilikuwa nauliza hivi, ninatumaje mawazo yangu kwenye blog ya michuzi
ReplyDeleteunajua mtumwa haachi asili yake,sasa kama ni bro au dada uliyesema kwanini mtz anashindwa kuikuza lugha yake wala hujakosea,nafkiri baada ya miongo kadhaa ijayo ndo waTZ tutakua proud na lugha yetu na kuitumia kokote.
ReplyDeleteSafi sana,BEN kafanya kazi nzuri sana pamoja na matatizo ya hapa na pale lakini mambo tumeyaona.Nakumbuka katika hotuba yake moja wakati anasema akitoka madarakani atatuachia uwanja wa kisasa wa michezo,tuliona kama ilikuwa Ndoto.Mungu akubariki sana Mzee Mkaba.Na barabara za Mikoani tumekukubali mzee.
ReplyDeleteKwamba tunataka ama hatutaki, kama tunakubali ama hutukubali, haijalishi. His Excellency, Benjamin William Mkapa was and is beyond standards when it comes to presidency in our country. Alichoweza kukifanya kwa nchi yetu kiuchumi na kijamii ni beyond doubt.
ReplyDeleteTunaweza kumlaumu sana tena sana kutokana na wizi uliofanywa na watendaji wake yeye akiwa ofisini, lakini tukumbuke kwamba yeye si Mungu hata aweze kuona yaliyofichika!
Ok, tumseme sana, lakini ni afadhali yeye aliweza kutubakishia kitu katika akiba yetu ya serikali.TUSUBIRI TUONE TUTABAKISHIWA NINI YA MUHESHIMIWA HUYU AMBAYE MAWAZIRI WAKE WAMEKWISHA ANZA KUONEKANA WAKIIBA KUNGALI MCHANA!
Mnyonge Mnyongeni, Ila HAKI yake MPENI. Huu uwanja ulifaa kuitwa B.W. Mkapa National Stadium. Yeye ndio aliyetoa AHADI kwa Watanganyika kuwa atawajengea uwanja na Katimiza. Tatizo Awamu ya NNE wanambania Mzee wa watu. Nakubaliana na Anon. 10.10 hapo Juu
ReplyDeleteWIZI MTUPU...
ReplyDeleteKWANINI KIANDIKWE KIZUNGUUUU JAMANI??IVI LUGHA YETU YA TAIFA KISWAHILI KULIKONI??
ReplyDeleteMBONA WAO KULE KWAO MIJINA YOTE NI KICHINA?KISWAHILI KISWAHILI KISWAHILI,afu mtutolee wale "wamachinga" wa kichina pale mtaa wa Kongo-Dar.
i agree with annon apo,,shenzi zao sana
mkapa amejenga uwanja kama raisi kwa rasilimali za nchi,kwahyo basi na UDOM university iitwe kikwete.sioni ubaya wowote wa jina national stadium,if its a matter of remembarance he will be remembered for all the good things he has done to his nation.
ReplyDeletehata UDOM KAJENGA MKAPA,KIKWETE BADO AJAJENGA KITU. UDOM HAIJAANZA LEO.
ReplyDeleteLAKINI KIWIRA NA VINGINEVYO LAZIMA AULIZWE.
NYERERE AMEKAA 24 YRS KAJENGA MUHIMBILI, UDSM, MZUMBE, DAR TEKI, MAGOMENI , KINONDONI, ARDHI.... SHULE BURE, HOSPITALI BURE, HAMNA VAT, MBUGA ZA WANYAMA HAJAUZA, MGODI MMOJA WA MWADUI. SHULE NA HOSPITALI KIBAO AMEJENGA. TAZARA.
KUTOKA AONDOKE MPAKA LEO NI MIAKA 24 NA MARAIS WA TATU. UWANJA NDIO HUO TAIFA NA UDOM.
SHULE,HOSPITALI TUNALIPIA. KUNA VAT MIGODI IPO KIBAO AMBAYO INAFANYA KAZI MBONA MAENDELEO HAFIFU. MAPATO NI MENGI KULIKO ENZI ZA NYERERE, HAWA WOTE WALIO MADARAKANI WAMESOMA/KUTIBIWA BURE.
KAMA SI VITA YA TZ VS UGANDA NYERERE ANGEKUWA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA NI GARAMA ZA VITA YA MWAKA MMOJA NDIO IMEIRUDISHA TZ NYUMA, WATU WENGI HAMBAO HAWAMPENDI HAWAKUAMBII JUU YA VITA KAMA VIMEENGIZA TZ GARAMA KUBWA, KENYA WAMEPIGANA WENYEWE NA VITA VYA MAPANGA WANALALAMIKA MPAKA SASA HIVI, VITA YETU SISI ILIKUA YA SILAHA ZA UKWELI.
LAKINI HANA MAMBO YA KIWIRA WALA NINI
nakubaliana ana anony wa 16,2009 8:51 kwa point yako ya kutukumbusha mambo mazuri aliyotufanyia baba wa taifa ametuachia sifa nyingi na heshima katika kimataifa na kitaifa lakini hakufanikiwa katika malengo yake yote aliyokuwanayo lakini ametuacha mahali pazuri ni wajibu wtu kumuenzi.na kuyaenzi yale yote aliyoyaacha.
ReplyDeleteWe anonym wa kwanza una matatizo au upo kumtetea MKAPA. Kikwete kabla hata hajamaliza miaka 5 ya kwanza tayari kuna maelfu ya wanafunzi wanasoma UDOM!! sasa ikiisha miaka kumi si ataacha kumbukumbu kibao na za kuleta maendeleo makubwa kwa wabongo. Ni kweli mkapa ni binadamu kama wengine lakini hawei kuwa mfano bora kwa dharau alizowaonyesha watanzania pamoja na kujimilikisha mali zetu kwa bei chee
ReplyDeleteUDOM NI JUHUDI YA MKAPA,BADO KIKWETE TUNASUBIRI ATAFANYA NINI
ReplyDeleteNINAPENDA NIELEWESHWE KWANINI WANAOPAQMBA KWENYE SHEREHE ZA KITAIFA BENDERA YA TAIFA HUKUNJWA KIUSTADI ILI RANGI YA BULUU ISIONEKANE? JE, NI KWASABABU SHEREHE HIZO HUFANYIKIA BARA HIVYO RANGI YA BULUU ISHARA YA MUUNGANO HAIHUSIKI? AU HUWA NI BAHATI MBAYA TU KUWA RANGI HIYO HUWA HAIPENDI KUONEKANA?
ReplyDeleteTBC 1 KULIKONI? KIINGLISHI HAKIPANDI? MTANGAZAJI ALIYETAFSIRI ALICHOSEMA RAISI ALITUPOTOSHA KWA KUSEMA KUWA UWANJA WETU UTABAKIA KUWA WAKISASA ZAIDI KULIKO VYOTE AFRIKA HATA BAADA YA VIWANJA VINAVYOJENGWA AFRIKA KUSINI KUISHA MWAKA 2010 KUKAMILIKA. UKWELI RAISI HAKUSEMA HIVYO, KAMA KIINGLISHI NOT RICHABO NI BORA KUTOJARIBU KUTAFSIRI NA KUISHIA KUPOTOSHA UMMA.
ReplyDelete60,000 capacity $56m! Fiinanced by govt of cjina and govt of Tanzania. Aibu tupu kwani watu binafsi wanashindwa kufanya project ndogo kama hiyo? Kweli bado tuko nyuma sana. Mkapa ndio kasaidia? Mbona ni kitu kidogo mno hicho?Hii ni project ya kimachinga. Mi mwenyewe naweza kujenga viwanja kama hivi au vizuri zaidi huko Ruvuma na Moshi.Tunaonekana mafala sana kushangilia uzembe na uvivu. Fisadi mmoja tu anajenga kiwanja kama hiki. $56m mona ni pesa za kujengea nyumba ya kuishi mtu? Nyie mko wapi?
ReplyDelete