Kwa mara ya kwanza show itakayojumuisha wanamuziki wanaokuja juu kwa nguvu kutoka Tanzania, Kenya, Burundi na Sudan. Dj maarufu kutoka Kenya TakeOver djs watakuwepo pia kuhakikisha unapata burudani ya uhakika..Usikose. .

Saturday 2pm to 8pm:
The Kids All Star Event/Family Day.
For the 1st time this year we are hosting an event for kids of all ages. We are encouraging you to come and bring the children to this event. Kids will meet and enjoy others like never before.
Songs and Games (chei chei, maua, mazuri, etc).
Physical (Music, Bouncer, Ready, Kamba, Mbio, etc).
Educational (Quizes, Information, etc).
Picture taking (to be featured on the 2010 Calender).
Final Presentation, Announcements, Raffle and Gifts.

Saturday 10pm till down:
Wale magwiji wawili wa kupiga disco kutoka Tanzania Dj Bonnie Luv na Dj Joe Catdaddy (Washington D.c) watakuwa jukwaani kutoa burudani ya mwaka…Old skul vs New Skul nani zaidi usikose!!!!!!!!!!!!!! Pia kutakuwa na onyesho maalumu kutoka kwa vijana machachari wa hiphop kutoka Washington DC.......

Sunday 1pm – 8pm

PICNIC at the park..
Music and Dj Skills by local and guest djs. Expect Suprizes.
BBQ, chips mayai, nyama choma, fish, etc.
A hang-out at one of the local night club.

Please keep checking this more to come
KARIBUNI WOTE.....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MliakuvanaMarch 31, 2009

    Way to go Dallas! Yet another gem from the Dallas Bongolanders! Big ups....na kwa lugha ya old skull; babu kubwa!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Bro michu, pole na shuguli, sisi wadau wa uk tunahasira sana na huyu Bonny Luv, hivi kwa nini haji UK? kwani sisi hatujacheza "michael jackson njoo??", tunakuomba utufikishie hizi salamu kwake kuwa afanye mpango aje kurusha souls za watu wa kale huku, there is credit crunch but we still partyyyy...

    thanks in advance

    ReplyDelete
  3. address for kids event please

    ReplyDelete
  4. mmmh mbona utata! juzi nimeona tangazo kuwa Dj Boan Luv atapipa bongo siku ya 11/4/09,je ukweli uko wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...