Home
Unlabelled
NSSF Arusha yawapa yatima mkono wa pasaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NSSF Mnafanya jambo jema kujali jamii, ila mnanikitisha kuwa jamii inayoishi nje ya Tanzania hamuijali kwani mlianzisha huduma hapa UK tukawa na hamasa ya kujiunga lakini sasa hatupati taarifa yoyote kuhusu mpango huo. Hebu tufikirieni nasie jamani kwani tupo huku kwa muda na hatimaye tunarudi nyumbani na hatuna pension scheme yoyote inayotujali, mlitupa moyo il sasa mmeingia mitini, hebu tupeni basi feedback tujue!
ReplyDeleteHongereni kwa kuwakumbuka hao ndugu zetu japo kwa nadra.
ReplyDeleteHuu ni mfano wa kuigwa japo unatakiwa uwe endelevu kama sera maalum kwa mashirika kama haya, hivi kwelindugu hawa wafurahi wakati wa sikukuu pekee? Ni wajibu wenu kupanga mikakati ya kusaidia jamii kama hivi kwani michango si yetu bwana na faida mnayoitengeza si inatosha? haya shime saidieni kwa nguvu zote na wala si kutaka kupigwa picha kutokea magazetini, kwenye luninga n.k
Mr. Matongee
ReplyDeleteHaya kazi kwenu Pasaka hiyoooooooooooooooooooooooooo
ReplyDeleteunaweza warushia barua pepe wahusika
ReplyDeletedg@nssf.or.tz
Mbona mnatoa pasaka na chrismas tu .vipi IDDI NA MAULIDI kwa waislam?
ReplyDeleteMwakatobe ukumbuke na Iddi kuwajali waislam.acha udini.
ReplyDeletewaislam mwakatobe usisahau.
ReplyDelete