Mkuu wa wilaya ya Kigoma Mjini Mh. John Mongela akihutubia walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Mwananainchi katika hafla ya kupokea msaada wa jengo la darasa moja na ofisi ya waalimu lililojengwa kwa ufadhili wa Vodacom Foundation.Kulia ni meneja wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule.Sherehe hizo zilifanyika mwishoni mwa wiki mkoani Kigoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani hata kina John wamekuwa wakuu wa wilaya ama kweli watu wamekuwa sasa. Rip Rip brother nakumbuka enzi za Mzumbe-Kilakala maana hawa ndiyo kina kaka waliokuwa juu kwenye chati. GOOD MOVE KEEP IT UP NA HONGERA NA QUALITY ZA UONGOZI ULIKUWA NAZO. HE WAS A COOL BROTHER THOUGH!

    ReplyDelete
  2. mama yake alikuwa waziri na mbunge wa africa unategemea nini?angekuwa mtoto wa michuzi ndio ungeshangaa.yaani wewe unashangaa kuona meli iko baharini?ndio mahala pake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...