Home
Unlabelled
gari linapodumbukia barabarani dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tatizo la wasamaria ni kuwajua wapi wema wapi wabaya. Zamani pale maeneo ya wizara ya mambo ya ndani ilikuwa ikinyesha mvua kunajaa maji na wasamaria wanakuwa wengi kila kona. Sasa pita kwenye dimbwi ukwame uone...
ReplyDeleteMambo ya biashara ya skrepa hayo. Wataalamu wasomi wetu hakuna aliyegundua namna ya kutengeneza mifuniko hii bila kutumia vyuma? Taifa linahitaji hicho kitu. Madili ya skrepa noma.
ReplyDeleteYaani hiyo sentensi yenyewe inachekesha. "Gari limetumbukia barabarani"..hizo ni barabara au mashimo?
ReplyDelete