wasamaria wema wakijaribu kulichoropoa gari lililodumbukia kwenye shimo karibu na hellenic club kutokana na vifuniko vya mifereji ya maji kukosekana. watu wengi wameumia na kuharibu mali zao kwa tatizo hili ambapo wakati wa mvua shimo hulioni unastukia pwaaa!



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tatizo la wasamaria ni kuwajua wapi wema wapi wabaya. Zamani pale maeneo ya wizara ya mambo ya ndani ilikuwa ikinyesha mvua kunajaa maji na wasamaria wanakuwa wengi kila kona. Sasa pita kwenye dimbwi ukwame uone...

    ReplyDelete
  2. Mambo ya biashara ya skrepa hayo. Wataalamu wasomi wetu hakuna aliyegundua namna ya kutengeneza mifuniko hii bila kutumia vyuma? Taifa linahitaji hicho kitu. Madili ya skrepa noma.

    ReplyDelete
  3. Yaani hiyo sentensi yenyewe inachekesha. "Gari limetumbukia barabarani"..hizo ni barabara au mashimo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...