Home
Unlabelled
JK na wabongo waishio comoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK haogopi shavu lake kunaswa kibao?? maana anazidi kuwasogolea !!!!
ReplyDeleteduh mpaka comoro tushafika? tanzania kabaki nani jamani?
ReplyDeletedah kumbe hadi comoro tumeshafika watanzania na kuishi kabisa?
ReplyDeletewacheni ujinga kama wa comoro waliweza kufika Tanzania na Kenya asilimi kubwa toka miaka 1890 itakuwa Watanzania kuwa Comoro? Tena Comoro kuna baazi ya sehemu wanaongea kiswahili toka 1920's sio vya kushangaza Dar-es-salaam asilimi ya wangazija wengi Tanga na Unguja ndio usiseme ni asilimia kubwa. Watanzania wengi wanapeleka Biashara Comoro.
ReplyDeletendugu yangu uliowaita wenzio wajinga naona wewe ndio mjinga, walichofanya wenzio ni kuuliza au kushangazwa, hilo halimfanyi mtu kuwa mjinga, wewe umekuwa mjinga kwa vile umeshindwa kufahamu maana ya neno mjinga. kuwa mstaarabu.
ReplyDeletePUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUMHHH. NIMEJAMBA
ReplyDelete