JK akisalimiana na wabongo waishio visiwa vya comoro baada ya kuongea nao huko moroni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. JK haogopi shavu lake kunaswa kibao?? maana anazidi kuwasogolea !!!!

    ReplyDelete
  2. duh mpaka comoro tushafika? tanzania kabaki nani jamani?

    ReplyDelete
  3. dah kumbe hadi comoro tumeshafika watanzania na kuishi kabisa?

    ReplyDelete
  4. wacheni ujinga kama wa comoro waliweza kufika Tanzania na Kenya asilimi kubwa toka miaka 1890 itakuwa Watanzania kuwa Comoro? Tena Comoro kuna baazi ya sehemu wanaongea kiswahili toka 1920's sio vya kushangaza Dar-es-salaam asilimi ya wangazija wengi Tanga na Unguja ndio usiseme ni asilimia kubwa. Watanzania wengi wanapeleka Biashara Comoro.

    ReplyDelete
  5. ndugu yangu uliowaita wenzio wajinga naona wewe ndio mjinga, walichofanya wenzio ni kuuliza au kushangazwa, hilo halimfanyi mtu kuwa mjinga, wewe umekuwa mjinga kwa vile umeshindwa kufahamu maana ya neno mjinga. kuwa mstaarabu.

    ReplyDelete
  6. PUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUMHHH. NIMEJAMBA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...