mbunifu wa mitindo fatma amour (menye gauni jeusi) akipozi na mamodo wake baada ya shoo babu kubwa ya kakakuona katika ukumbi wa Dar alive (zamani malaika) jijini dar
fatma amour akitambulishwa baada ya shoo hiyo iliyofana sana

mambo ya mwamvuli na chungu ya kakakuona show 2009
kwa maharusi...
modo akiondoka stejini
miss tz 2008 nasreem karim alikuwepo kama mmoja wa mamodo na alitia fora sana
ngoma na mavazi ya kiajemi
kwa mabrazameni
vibuyu mtindo moja



















Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. JAMANI MAVAZI MENGINE VICHEKESHO KWELI,SASA HILO VAZI LA HARUSI LIMEKAAJE NA HILO LA VIBUYU!!!MHHH JAMANI UBUNIFU MWINGINE HAPANA

    ReplyDelete
  2. Big up fatma... kweli umedhihirisha ubunifu wako...
    you are true african designer. safi sana.

    ReplyDelete
  3. wasio juwa ubunifusana agalieni kwa macho tu lakini tunaoujuwa ubunifu we achatu mambo yote kakakuona 2009 yalikuwa pale darAlive kaka usipime mavazi yote yana valiwa kwa wakati na muda maaluum .ulikosa uhondo tunakukubali dada fatma sio mchezo napenda mavazi yako upo juu katika mdesigner wa tanzania umewafunika kichizi dada!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. big up famour designer ntakuja kununuwa simba nguo nilipenda sana upo kinondoni morroco!

    ReplyDelete
  5. napenda anavyo buni kipekee sana sio kama tulivyo wahi kuona kwa wabunifu wangine tumekukubali dada kaza buti utafika... tunajivunia sasa tuna mmbunifu nimeona tbc1 sio mchezo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...