Tunapenda kuwatangazia watazamaji wa channel ten na wasikilizaji wa Radio Magic kwa njia ya Satelite kuwa sasa wanaweza kuyapata matangazo yetu kupitia satelite ya INTELSAT 906 64e. Masafa ya 3905.63MHZ, Symbol Rate 2.84835 Msps na FEC 2/3 Horizontal.
Tangazo hili linawahusu wale tu wanaotumia satelite Dish Kuyapata Matangazo yetu.
Kwa wanaotumia Antena za kawaida kwa TV na wasikilizaqji wa wendelee kmupata uhondo kwani hakuatakuwa na mabadiliko.
Kwa maelezo zaidi tuandikie barua pepe kwenda,

au tupigie kwa namba zifuatazo
0784 299 219
0787 418 031
0713 263 902
Au tembelea tovutu yetu
0784 299 219
0787 418 031
0713 263 902
Au tembelea tovutu yetu
tunataka matangazo ONLINE please...tuko mbaliwengine jamani tunaomba mtufikirie
ReplyDelete