Tunapenda kuwatangazia watazamaji wa channel ten na wasikilizaji wa Radio Magic kwa njia ya Satelite kuwa sasa wanaweza kuyapata matangazo yetu kupitia satelite ya INTELSAT 906 64e. Masafa ya 3905.63MHZ, Symbol Rate 2.84835 Msps na FEC 2/3 Horizontal.
Tangazo hili linawahusu wale tu wanaotumia satelite Dish Kuyapata Matangazo yetu.
Kwa wanaotumia Antena za kawaida kwa TV na wasikilizaqji wa wendelee kmupata uhondo kwani hakuatakuwa na mabadiliko.

Kwa maelezo zaidi tuandikie barua pepe kwenda,
au tupigie kwa namba zifuatazo
0784 299 219
0787 418 031
0713 263 902
Au tembelea tovutu yetu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. tunataka matangazo ONLINE please...tuko mbaliwengine jamani tunaomba mtufikirie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...