Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Karibia viongozi wote hapo meza kuu wako madarakani kwa zaidi ya miaka 20. Inashangaza wao kutoona kilema walichonacho na kumsulubu huyo wa Madagascar! Shame on african dictators!

    ReplyDelete
  2. melek zenawi, ethiopia,huko kashika kila sehemu ya maisha,aliingia kwa mapinduzi, bob mugabe, huyo hatusemi, mzee mzima ghadafi,anaamini hakuna mwingine zaidi yake,labda mwanae, aliingia kwa mtutu.Mubaraka mzee wa misri, ndo usiseme, damu ya nasri bado ipo mikononi mwake.ze isti afirka prezidaa,na vuguvugu, ashukuru mungu tanzania, angefia msituni. Aliyebashiri wa sudani,huyo anasubiri kunyongwa. anatkiwa KAbila WA KONGO,STYLE MOJA.togo. senegali, guinea bisau,mali. kwa ufupi mzee gado umeona mbali lakini ni mfumo,haukwepeki,lazima jamii ipitie huko kabla ya kustaraaaaabika.

    ReplyDelete
  3. True true mdau hapo juu especialy huyo Gadafi wamembeba ili akiachia madaraka baadaye wasimshitaki.

    ReplyDelete
  4. SIASA YA NCHI ZA AFRIKA NA HOFU YA PEOPLE'S POWER

    Kwanza nakupa Hongera Kipanya kwa kuleta kitu cha GADO hiki cha leo.Kwakweli kimetulia mno.

    Mimi kwanza sioni wa kumnyooshea kidole Madagasca, hasa kwa kuanzia na Tanzania wenyewe.Ukiangalia Tanzania, siasa bado ni tete, wanasema hiyo uchaguzi ni wa kikatiba wa Tanzania.Maana ya uchaguzi wa kuwa wa kikatiba, si kuitishwa na tume ya uchaguzi, si kuwepo kwa periodic election, bali tunaangalia mwenendo mzima wa kikatiba, shria za uchaguzi, sheria mama (katiba) kama imekiukwa au la.Chaguzi za Zanzibar tangu kipindi cha ukoloni hadi leo kizungumkuti kitupu, sasa ile ni consititutional election au mockery of democratic election?

    Kilichofanyika Zanzibar kipindi cha IGP Mahita kutangaza kuwa CUF kamwe haitaingia madarakani kama yeye Mahita akiendelea kuwa IGP, hakina tofauti hata chembe na yule mkuu wa majeshi wa Zimbabwe aliyesema hatomtambua mtu yoyote yule kama rais isipokuwa Mugabe tu.Nini maana yake hii?Jeshi linashirikiana na chama tawala kuiba kula, kupiga raia nk, sasa huo ndio uchaguzi wa kikatiba??

    Ukiangalia kwa Gadafi yeye mpaka afe ndio mwisho wa urais wake.Nakumbuka kauli yake aliyomwambia Mugabe kwamba wale wote waliopigania uhuru na kuwa marais wa kwanza, kamwe hawataikiwi kuondoka madarakani kwa box la karatasi.Alimwambia kama wasipokufa kwa kudra za mwenyezi Mungu, basi wapinduliwe...watu wengine waingie msituni kuwaondoa.

    Maneno hayo yameshawahi kutumiwa na huyu Karume rais wa sasa wa Zanzibar kuwa hawawezi kuachia nchi kwenda kwa upinzani, labda wapindue nchi, ila akionya kuwa silaha za mapinduzi bado ni kali wanazo wameziweka store.

    Kauli kama hiyo tena Museveni huko Uganda naye alishaitumia, anayetaka kumuondoa pale naye aingie msituni.Kwahiyo siasa za nchi nyingi za Afrika ni mockery tu hakuna jipya.

    Ndio maana Mugabe alivyozungumza kule kwenye mkutano wa Afrika nani angemzuia??Kikwete kama mwenyekitio alinywea, eti Membe anatoa tamko, kama nani??Kama bosi wako Kikwete kanywea, nini tena??

    Na ukiangalia nchi nyingi wakishaiba kura, wanachokifanya wasuluhishi ni kuleta hoja za power sharing.Angalia kenya, zimbabwe,burundi, sudan nk.Hii iliyofanywa na Madagascar ndio sawa, hakuna vya power sharing.Viongozi wezi wengi wa kura wanajua People's power sio mchezo, wao wanang'ang'ania uchaguzi wakijua watutumia jeshi na uchawi, rushwa na wizi kuendeleza kuwepo madarakani

    Kilichottoa madagascar ni indicator ya Tanzania 2010.

    MAKULILO Jr,
    www.makulilo.blogspot.com

    ReplyDelete
  5. TENA NA HUYO MWINGINE SIJU JIRANI.YE NDO KASAHAU HATA KUPUNGUZA MAPEMBE

    ReplyDelete
  6. huyu kijana ni DJ amekuwa rais hata mbowe wa chadema anaweza kulamba urais awe dj wa pili duniani kuwa rais wa nchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...