
Katika msimamo wa ligi hiyo inayendelea sasa timu hii machachari imeweza kushikilia nafasi za tatu, pili na sasa ya nne kwa nyakati tofauti. Kama ikiweza kushinda mechi zake tatu zilizosalia pamoja na kipolo kimoja basi timu hii itakuweza kufikisha point 39 na kujinyakulia moja ya nafasi nne zinazogombaniwa ili kupanda daraja.
Katika mechi yao iliyopita waliweza kuifunga timu ya Atlanta FC kwa bao moja bila lililowekwa kimyani na Malik Mohamed "Zico". Hizi ni picha za timu hiyo kamambe. Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Tanzanite FC.
naona cku hz mmeacha kucheza game za kupunguza hangover.ila walau nyie bado manaendelea kucheza maana timu zingine za wabongo wao wanasubiri summer 2.
ReplyDeleteya kweli hayo?isijekuwa mnakaribia kushuka daraja.link ya hiyo ligi iko wapi?siyo kujinadi tu hapa.zama za sasa zinakwenda na uthibitisho.
ReplyDeletehovyoooooo.
link? ingia hapa mwana: www.adasl.com au
ReplyDeletewww.tanzanitefc.com then ingia amature league. ahsanteni