Wakiwa wamebakiza mechi nne mkononi timu ya Tanzanite Fc ya Atlanta ina matarajio makubwa ya kupanda daraja la pili msimu ujao.
Katika msimamo wa ligi hiyo inayendelea sasa timu hii machachari imeweza kushikilia nafasi za tatu, pili na sasa ya nne kwa nyakati tofauti. Kama ikiweza kushinda mechi zake tatu zilizosalia pamoja na kipolo kimoja basi timu hii itakuweza kufikisha point 39 na kujinyakulia moja ya nafasi nne zinazogombaniwa ili kupanda daraja.
Katika mechi yao iliyopita waliweza kuifunga timu ya Atlanta FC kwa bao moja bila lililowekwa kimyani na Malik Mohamed "Zico". Hizi ni picha za timu hiyo kamambe. Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Ibariki Tanzanite FC.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. naona cku hz mmeacha kucheza game za kupunguza hangover.ila walau nyie bado manaendelea kucheza maana timu zingine za wabongo wao wanasubiri summer 2.

    ReplyDelete
  2. ya kweli hayo?isijekuwa mnakaribia kushuka daraja.link ya hiyo ligi iko wapi?siyo kujinadi tu hapa.zama za sasa zinakwenda na uthibitisho.
    hovyoooooo.

    ReplyDelete
  3. link? ingia hapa mwana: www.adasl.com au
    www.tanzanitefc.com then ingia amature league. ahsanteni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...