ubao wa matangazo katika geti la makaburi ya kisutu leo
mamia ya waombolezaji wakielekea makaburini tayari kwa mazishi ya hayati hamidu bisanga
marafiki toka kila sehemu wakisubiri mwili uwasili kwa mazishi makaburi ya kisutu
viongozi wa klabu ya michezo ya break point wakiwasili makaburini
marafiki mazishini
wakongwe wa habari toka shoto adarsh nayar (alikuwa mpiga picha mkuu wa daily news miaka ya 70) mzee uli mwambulukutu (bosi wa zamani wa daily news), david kyungu (mchora katuni za kalikenye enzi hizo), reggie mhango (mhariri wa habari wa zamani wa daily news)
waombolezaji wakipeana pole. toka shoto ni mkongwe hemedi kimwanga (enzi za gazeti la mfanyakazi), mwenyekiti wa yanga imani madega, mchezaji wa zamani wa pan africa na taifa stars salum carlos mwinyinimkuu na ustaadhi
rafiki wa karibu wa hayati hamidu bisanga, tony baretto (shoto, alikuwa mkuu wa kitengo cha matangazo daily news) akiongea na mdau pamoja na mwenyekiti wa baraza la habari kajubi mukajanga
marafiki wa karibu wa hamidu bisanga
nyuso za huzuni zilitawala kote
marafiki wa marehemu mazishini
wanachama waandamizi wa  klabu ya michezo ya break point mazikoni
ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu wakisubiri mazishi
toka shoto ni kipa wa zamani wa yanga, muhidin fadhili, mdau anwar kabombe, mwenyekiti wa yanga imani madega na mdau
wakongwe wa habari toka shoto ni dk. gideon shoo, mzee nguba , na hamisi mzee
naibu mhariri mtendaji wa tanzania standard newspapers media group, mkumbwa ally (kulia) akisalimiana na mhariri wa habari wa zamani wa daily news mzee reggie mhango. kati ni mzee uli mwambulukutu, bosi wa zamani wa daily news

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. safi huu ndio uzalendo sio kama shayo kazi yake kukosoa tu bila kutoa solution.

    ReplyDelete
  2. Samahani nimeona tangazo katika ubao wa Matangazo hapo kisutu kuwa HURUSIWI KUJENGEA KABURI...

    ReplyDelete
  3. makaburi sehemu gani imesemwa isijengwe kwenye quran au dini hawa wakuu wa makaburi wanaleta ufundamentalism bila kujua dini wakati makaburi enzi za mtume yamejengwa

    ReplyDelete
  4. kuna hadithi ya mtume (s.a.w) inasema kaburi linalopotea ni bora zaidi.

    ReplyDelete
  5. rest in iternal peace uncle.we'll alwayz have ur memory with us,alwayz.

    K.A.K

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...