Home
Unlabelled
bongo tambarare: alama mpya za barabarani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NABII MTAKATIFU YOHANNA MASHAKA NDIYE ALIYEBANDIKA HILO BANGO LINALOONYESHA CHINI JUU, JUU CHINI. YEYE NDIYE KIMEO HAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA. MIMI ALUMNI WA MUZUMBE NAMSHINDA KWA KIINGELEZA, KWA MAANA NIMESOMA OKSFODI PIA. AU ABISHE? KAMA ANABISHA AJE KWENYE MDAHALO PALE MUZUMBE. TUONE NANI ZAIDI KATI YANGU NA YEYE.
ReplyDeleteYOHANNA MASHAKA UNABISHA KWAMBA WEWE SIYO MUWEKEZAJI KWENYE DECI AMBAYO IMEFUNGWA? MIMI HELA ZANGU ZOTE NITAKUJA KUKUDAI ZIKIPOTEA KWA MAANA UNAPENDA SANA KUCHONGA NA KAMARI ZAKO HIZOZA DEKI. SAA UNAIBIA HATA WATU WA MUZUMBE ALUMNI. BWANA KAMA WEWE NI RAIS MTARAJIWA LAZIMA UTEKEE WANYONGE SIYO KUWALIZA NA POTEA PATA NA UKANYABOYA
Peter, naomba uache kuvuta habba kwa afya yako.
ReplyDeleteHii inaonyesha ni kwa jinsi gani watu wanaohusika na usalama barabarani wasivyomakini na kazi zao jamani bwana nanihii ungetoa tu na mtaa lilipo bango hilo ili wahusika warekebishe!!
ReplyDeleteyaani huo ni uzembe wa hali ya juu
mdau JP
WAWEKEZAJI WATATUPATIA UFUMBUZI WA MATATIZO YETU.SIO KUWAJIBIKA.
ReplyDeleteTANZANIA TUTAFUTE MAINGINEA WA KIGENI,WANA UTAHARAMU NA MAMBO YA ALAMA ZA BARABARANI.
ReplyDelete