Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. PETER NALITOLELAApril 17, 2009

    NABII MTAKATIFU YOHANNA MASHAKA NDIYE ALIYEBANDIKA HILO BANGO LINALOONYESHA CHINI JUU, JUU CHINI. YEYE NDIYE KIMEO HAJUI KUSOMA WALA KUANDIKA. MIMI ALUMNI WA MUZUMBE NAMSHINDA KWA KIINGELEZA, KWA MAANA NIMESOMA OKSFODI PIA. AU ABISHE? KAMA ANABISHA AJE KWENYE MDAHALO PALE MUZUMBE. TUONE NANI ZAIDI KATI YANGU NA YEYE.

    YOHANNA MASHAKA UNABISHA KWAMBA WEWE SIYO MUWEKEZAJI KWENYE DECI AMBAYO IMEFUNGWA? MIMI HELA ZANGU ZOTE NITAKUJA KUKUDAI ZIKIPOTEA KWA MAANA UNAPENDA SANA KUCHONGA NA KAMARI ZAKO HIZOZA DEKI. SAA UNAIBIA HATA WATU WA MUZUMBE ALUMNI. BWANA KAMA WEWE NI RAIS MTARAJIWA LAZIMA UTEKEE WANYONGE SIYO KUWALIZA NA POTEA PATA NA UKANYABOYA

    ReplyDelete
  2. Peter, naomba uache kuvuta habba kwa afya yako.

    ReplyDelete
  3. Hii inaonyesha ni kwa jinsi gani watu wanaohusika na usalama barabarani wasivyomakini na kazi zao jamani bwana nanihii ungetoa tu na mtaa lilipo bango hilo ili wahusika warekebishe!!
    yaani huo ni uzembe wa hali ya juu
    mdau JP

    ReplyDelete
  4. WAWEKEZAJI WATATUPATIA UFUMBUZI WA MATATIZO YETU.SIO KUWAJIBIKA.

    ReplyDelete
  5. TANZANIA TUTAFUTE MAINGINEA WA KIGENI,WANA UTAHARAMU NA MAMBO YA ALAMA ZA BARABARANI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...