mtangazaji mahiri wa ITV na Radio One  ambaye  pia ni  mhadhiri chuo kikuu cha Tumaini University kampusi ya Dar, Godwin Gondwe a.k.a dabo G aongea na globu ya jamii juu ya maendeleo na changamoto za teknolojia ya habari na mawasiliano (teknohama) bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi Ndugu Gondwe nimemsoma, lakini yeye kama mwanahabari mahiri na mhadhiri nazungumzia vipi suala zima la maadili katika habari baada ya haya mabadiliko yote yanayotokea?

    Je wanataaluma nchini ama duniani wanafanya nini kwa sasa kupambana na ukiukwaji wa maadili ya habari au ndo hivyo uhuru wa habari unakuja kwanza na maadili yanatupiliwa mbali?

    Swali langu la tatu linahusu urahisi wa upatikanaji wa hizi habari zenyewe, ni kweli ni rahisi zaidi kupata habari katika dunia ya sasa ya utandawazi na teknohama, wao kama wahadhiri/wanataaluma ya mawasiliano ni njia zipi mahsusi ambazo wanawapa wanahabari ili ziwasaidie katika mpambano huu ambao kila mtu anaweza kuwa mwanahabari?

    Halafu je issue ya regulation inakuwaje? sheria za habari zinafahamika kwa watu wote au websites na blog haziwi regulated?

    ReplyDelete
  2. Asante kwa kumuweka Bwana Gondwe hapa mimi binafsi nilimkosa sana...

    ReplyDelete
  3. Godwin Gondwe. $manager wa kwanza wa cocacola tanzania mwaafrika alikuwa Gondwe. Is that your father

    ReplyDelete
  4. watu wengine muwe mnauliza maswali ya maana sasa awe asiwe baba yake inatusidia nini, kama unataka kumfagilia Godwin mfagilie kama unamkandia kanda. baba yake unataka sasa uunge udugu au?

    ReplyDelete
  5. WE GONDWE UNATOA SIRI YA MICHUZI KWAMBA YEYE NI BABU. HATUKUOJI TENA.UNATAKA VICHULDA VIANZE KUMKATAA. UMENYEA KAMBI.

    ReplyDelete
  6. Godwin,

    Magazeti yatakufa hapo baadae. Wewe jipe moyo tu, lakini ukweli ni kwamba internet ikishasambaa wachache sana watakaohangaika kununua magazeti in print.

    Citizen journalism is the best, mambo ya Mhariri kazuia makala isichapwe, oh sijui mhariri kazuia maoni ya msomaji yasirushwe yalishapitwa na wakati.

    Checki the vision of the future from the UK Museum of Media History

    EPIC the movie. Click HERE to watch

    ReplyDelete
  7. Michuzi jamaa anakutania nini? Eti unamiaka 30or35 Uhu ni utani.

    ReplyDelete
  8. NAYE NI MHADHIRI,,,sawa

    ubarikiwe kijana

    ReplyDelete
  9. Mmmh! kweli Elimu ya bongo inakuwa duuuuuu!, haya bwana hongera kwa kuingia kwenye uhadhiri,

    Hivi kuna tofauti gani kati ya Mhadhiri na mwalimu?

    ReplyDelete
  10. Mdau wa April 23, 2009 2:23 AM,

    Hakuna tofauti kiutendaji kati ya Mhadhiri na Mwalimu.

    Sema ni janja tu ya watu wa Elimu ya Juu kujitofautisha na watu wa "Elimu ya Chini"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...