mwanamuziki nguli amerejea juzi kutoka marekani ambako yeye na mwanamuziki mwingine anania ngoriga walikuwa katika ziara ndefu ya maonesho katika miji kadhaa huko. usiku wa kuamkia leo aliibuka new msasani club na kuungana na kundi lake la the kilimanjaro band 'wana njenje' na kuendeleza burudani yao ya kila jumamosi hapo mahali.
Home
Unlabelled
john kitime arejea safari ya marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Penyee hapo Mwagito umepiga li Gitaa haswa! Hongera sana mtani kipaji unacho.
ReplyDelete