msanii lucas mkenda maarufu kama mr nice naye ameanzisha bendi yake na kuachana na mtindo wa bongo fleva wa kupiga cd wakati wa shoo. bendi hiyo inaitwa bush band na tayari imeshaanza libeneke. miongoni mwa wanamuziki wanaompa tafu ni mpiga bezi mwanamama muhtaji mbaraka (mwenye njano) ambaye ni binti ya hayati mbaraka mwinshehe mwaruka. kila la heri mr nice

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wengine wanatoka ktk groups wanakwenda solo.Yeye kafanya kinyume.

    ReplyDelete
  2. Hongera Mr.Nice!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...