Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukutana na kamati ya Bunge ya mambo ya nje, ulinzi na usalama leo jijini Dar Kulia ni Mnadhimu mkuu wa JWTZ Luteni  Jenerali Abdulrahman Shimbo. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Rais wa Zanzibar ajaye.

    ReplyDelete
  2. MICHUZI ULINIZIBIA LAKINI POA TU. NIRISHASEMA MAJINA YA MWISHO YATAKUA YALEYALE.

    ReplyDelete
  3. Raisi wa Zanzibar ajaye halafu baada ya hapo JK akimaliza ngwe yake tu. Mtu mzima anatia timu bara. Ni kiongozi Bora sana kati ya hawa tunaona sasa hivi, sio fisadi kabisa. Hongera Raisi Mtarajiwa

    ReplyDelete
  4. afadhali umesema hapa UK nawaambia watu hawaelewi lakini ni kwa sababu wengi ni vijana upeo wao mdogo,if u need 2 have a say in next 7 years think very careful about this GUY!kwa sababu JK ni product ya mzee mwinyi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...