NBC's Head of Marketing and Retail Marketing Johan Vermaas (L) congratulating NBC's Lake zone Area Manager Kitumari Massawe (R) for being the best performing zone for the first quarter of 2009. This was during the NBC Area Managers and Branch Managers meeting held at the White Sands Hotel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hongera Kitumari... Arusha then jeshini mwakutupora then benki NBC clocktower naona unapepea...

    Keep up the Good work and keep in touch usisahau rafiki bwana

    Hongera tena

    ReplyDelete
  2. WAZUNGU KILA KONA BONGO MSIWAFUNDISHE UFISADI, KILENI TARATIBU WABONGO.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana mshikaji, keep the good work up, you will continue to excel

    ReplyDelete
  4. WABONGO MMEWAPA WAZUNGU KILA KITU KAMA ZAWADI, ETI UTANDAWAZI!!!KALAGABAHO.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana mzee Kitu..... Product ya Arusha Sec hiyo. We are proud of you brother

    ReplyDelete
  6. Hivi kitumari ulipitia JKT? Kama jibu ni ndio ni mwaka gani? Naona kama hii sura inafahamika. Mimi nilikuwa operesheni miaka 25 ya JKT pale ruvu.

    Kazi nzuri kaka endeleza juhudi

    ReplyDelete
  7. kitumari massawe alisoma mazengo from 5 na 6?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...