Bw. Clement  Mshana (kulia) akiongea na mtangazaji maarufu wa BBC Charles Hilary wakati wa sherehe za miaka 50 ya idhaa ya kiswahili ya BBC jijini dar mwaka juzi. kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa leo Bw. Mshana ndiye bosi mpya wa idara ya habari a.k.a Maelezo, akijaza nafasi ya Mzee Kassim Mpenda ambaye amestaafu kwa mujibu wa sheria. kabla ya hapo Bw. Mshana alikuwa mmoja wa mabosi wa Shirika la Utangazaji  a.k.a TBC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. HONGERA MR.MSHANA, ULIKUWA BOSSI WANGU RTD chumba cha Habari, I know U r perfect Guy for the Job, U r one of the Smartest Guys I've met., kila la Kheri.

    ReplyDelete
  2. bwana hcehals hilary eebwana wewe ni mkonweg wa nysiukngi anas! nakumbuka enzi zile za simba na kiduchu!! alafu unapo waelezaga baadhi ya wtangazaji wasio kwenda shule waende sio wanatngaaza mradi rabo ut! wewe twakufagilia!!!!
    keep it up Big!!

    phd!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...