Manchester United reasserted their authority on the pursuit of the Premier League title with a crucial victory over Portsmouth at Old Trafford.

Wayne Rooney - recalled after injury - put them on their way with a simple finish from Ryan Giggs's cross after nine minutes.

And substitute Michael Carrick wrapped up the win when he fired in an emphatic strike eight minutes from time after Paul Scholes delivered a trademark slide-rule pass on his 600th appearance for United.

Read more from BBC

CLICK HERE 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Glory, glory, Man United,
    Glory, glory, Man United,
    Glory, glory, Man United,
    And the reds go marching on, on, on.
    Just like the Busby Babes in Days gone by
    We'll keep the Red Flags flying high
    You've got to see yourself from far and wide
    You've got to hear the masses sing with pride
    United! Man United!
    We're the boys in Red and we're on our way to Wem-ber-ly
    Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
    We're the famous Man United and we're going to Wem-ber-ly
    Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
    We're the famous Man United and we're going to Wem-ber-ly
    In Seventy-Seven it was Docherty
    Atkinson will make it Eighty-Three
    And everyone will know just who we are
    They'll be singing 'Que Sera Sera'
    United! Man United!
    We're the boys in Red and we're on our way to Wem-ber-ly
    Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
    We're the famous Man United and we're going to Wem-ber-ly
    Wem-ber-ly! Wem-ber-ly!
    We're the famous Man United and we're going to Wem-ber-ly
    Glory Glory Man United
    Glory Glory Man United
    Glory Glory Man United
    As the Spurs Go Marching On! On! On! (3x)

    MAN UTD FAN FOR LIFE...

    ReplyDelete
  2. Manchester 4lifeApril 23, 2009

    Hayahaya sasa Liverpool mmeshaanza kukiri sasa Man U wanachukua ubingwa..ngoma ya mtoto haikeshi bwana....Kombe la tatu hilo tuinaweka kabatini.
    Manchester is the European capital of Trophy.

    Mdau...UK[Manchester]

    ReplyDelete
  3. Soma hapa kujua kwamba Chelsea haipo tena kwenye title race baada ya droo ya jana. Ni wazi Manchester kwa sasa wameshaanza kumpa mazoezi Gary Neville namna ya kubeba kombe,japo miujiza ipo hivyo Live wana nafasi.Lakini ile droo ya Arsenal ilikua mbaya sana kwao, maana pale iliua nguvu ya Liverpool na Chelsea wakati huohuo.
    Hata hivyo ukitazama fixture bado mathematically the title race is still very much alive.Na fixture inaipa advantage Liverpool
    Chelsea itacheza na Westham,Fulham,Arsenal(London derbies) Blackburn na Sunderland.
    Manchester itacheza na Tottenham(h), Middlesbrough(a),Man City(h),Arsenal(h)(Zote derbies )Wigan(a)na Hull City(a)
    Lakini Liverpool wao wana nafuu kidogo hebu cheki hapa Hull City (a),Newcastle (h),Westham (a),Westbrom(a),Tottenham (h)
    Pia ikumbukwe kwamba Mancherster na Chelsea wana game mbili ngumu za Champions league ambapo jumamosi hii watacheza mawazo yakiwa huko kadhalika na jumamosi ijayo,hivyo Liverpool inaweza kufaidika katika mechi hizo mbili za jumamosi kati ya Man U vs Tottenham, na ile dhidi ya Middlesbrough kwani na uhakika Man hawatoingiza timu kamili wakihofia mechi na Arsenal. Hivyo Liverpool bado ananafasi hasa ikizingatia Manchester bado anasubiriwa na Arsenal ktk mechi ya pili toka mwisho.
    Mdau Wiliam Uk itabidi upunguze hizo asilimia zako.

    ReplyDelete
  4. mdau wa mnekeziApril 23, 2009

    Congrats! Mr Michuzi, kweli hii ni gazeti tando ya jamii, ni ngumu kuimagine katika hali ya kawaida km ungeweza kupost hii issuee ikichukuliwa wee ni mnazi mkubwa wa live r fool! anyway nashukuru sana

    ReplyDelete
  5. Wadau wa timu ya liverpool na chelsea mbona mko kimya sasa hawa man u naona ndio wana recover kipgo cha liverpool ubingwa wake mtake msitake

    ReplyDelete
  6. MDAU MLEFU GOMSApril 23, 2009

    UKISKIA MOTO UMEWASHWA NDIO SASA HIVI LIVERPOOL KACHEMSHA NA CHELSEA KACHEMSHA UTD MUNGU AKUPE NINI TENA

    ReplyDelete
  7. michuzi ya machupa ndo umeibania???

    manure hamna kitu mnaokoteza tu!

    ReplyDelete
  8. Arsenal watawazawadia Liverpool kombe. Robson de Souza naye ataonyesha kwamba yeye ni zaidi ya Cristiano Ronaldo. Goal difference inakuwaga noma wakati mwingine.

    ReplyDelete
  9. MBONA LEO HAKUNA "CHUPUCHUPU" WAKATI FOOLS WALIPOPONEA CHUPUCHUPU DAKIKA TANO ZA MAJERUHI DHIDI YA ARSENAL, AAAAAH! GEMU TAMU EEENH! UNAZI UNA TABU SANA.

    ReplyDelete
  10. Mbongo kukifuata chochote cha nje...hata kama mavi!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...