Home
Unlabelled
top queen
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Finally...umeamua kufanya kweli...hongera mkuu kipaji unacho.
ReplyDeleteKwa watu ambao sio prof actors kwenye video, mmejitahidi sana. Well done
ReplyDeleteMziki mtamu ,,unanikumbusha enzi za kina Jerry Nashon wakati huo saga rumba ..
ReplyDeleteeh bwanae hii kabla mambo ya mkono au?mbona hukunijulisha mie fundi sana wa kurapu ndugu yangu,Manchester patakuwa hapatoshi baada ya kikao.halafu umemsahau Gardol kwenye kupuliza midomo ya bata si unajua miziki ya zamani!
ReplyDeleteSafi kuzisanifu nyimbo za zamani katika teknohama ya kisasa, maana nyimbo zingine kama 'unanichoma mkuki moyoni'-safari trippers , 'hamida'-nuta/juwata, 'harusi'-afro70, 'mpaka manga'-orch safari sound, 'mambo bado'-makassy n.k inabidi wazee wazima wakubali vitu hivyo virudiwe ktk teknohama ya sasa.
ReplyDeleteKazi nzuri Hartman production.
Kaka nimekubali,naomba uje huku Birmigham ututumbize na hii midindo,Hope hapa watu watajua wewe si wa matani kipaji ni chako.
ReplyDeleteThanks for ur tune. Salimia Gado
Frank (Birmigham)
HONGERA HONGERA SANA ALAN!!!UMENIKUMBUSHA ENZI ZAKO ZA MKONGE TANGA BADO UNAKIPAJI WANGU MUZIKI UMETULIA SANA MUNGU AKUBARIKI NA FAMILIA YAKO
ReplyDelete