
mdau jimmy wa vodacom akiwa na na mai waifu wake mtarajiwa mary katika send-off ya bibie ilofanyika usiku huu ukumbi wa holland hall msimbazi centre jijini dar. bi harusi mtarajiwa ni mfanyakazi wa daily news. wanatarajiwa kumeremeta jumamosi hii

bosi wa maslahi ya wafanyakazi wa tsn d. sagamiko akitoa nasaha kwa mtarajiwa aliyezungukwa na wafanyakazi wenzie kwenye send-off yake

dansa mashuhuri ambao ni walemavu super convoy (shoto) na mmasai wa njano wakitumbuiza kwenye mnuso huo.
Maharusi ukweli wafanana na wamependeza, nawaonea wivu.
ReplyDeletewamependeza halafu wanafanana hao utadhani mtu na kaka yake. Hongereni
ReplyDeleteMbona suti ya bosi maslahi iko over-size? Ebu angalia mkono wa kushoto ulivofunikwa. Halafu kama kuna kilebo cha kufoji vile..
ReplyDeleteLebo hutolewa kabla suti haijavaliwa mara ya kwanza kakangu.
Ha ha ha!! Kaka Michuzi leo naona fulanazzz uliipeleka dry cleaner. Icho kitambaa cha vazi lako jipya ni cha baibui nini kakangu? Ha ha ha!!!
ReplyDeleteMkuu,
ReplyDeleteNampa hongera ila mwambie huyo bosi wenu wa maslahi atoe lebo kwenye mkono wa jaketi la suti.
Mdau
Hongera maharusi watarajiwa mmependeza,
ReplyDeleteHuyu "Jimmy" kama vile namjua, ni mtu wa Mwanza, alisoma Mazengo, akakaa Mwenge, wahikaji zake ni Mawazo na Paul, akasoma Ilboru ,then Foe. Mbona jina limenitoka, ndio wewe?
Anonymous April 17,2009 9:08 AM.
ReplyDeleteuko sahihi kabisa ni yeye jina lake anaitwa Sebastian Mwamba.
Seba umependeza kweli, ila am very sad bcos hukunijulisha mie mshika dau kua unaoa,
ni mimi Dear....hahahahahhaaaaaaaaa
a.k.a interchek c\o WFP
Anonymous April 17,2009 9:08 AM.
ReplyDeleteuko sahihi kabisa ni yeye jina lake anaitwa Sebastian Mwamba.
Seba umependeza kweli, ila am very sad bcos hukunijulisha mie mshika dau kua unaoa,
ni mimi Dear....hahahahahhaaaaaaaaa
a.k.a interchek c\o WFP
Michuzi,Bwana harusi anaitwa Sebastian (Seba) Mwamba,ni classmate tangu primary!Hongereni sana maharusi
ReplyDeleteumependeza bi mtarajiwa ila jmosi jaribu kulinganisha mapambo, yaani ukipamba sana kichwa basi shingo uiache wazi au kinyume, hapa umejaza sana. nakutakia kheri
ReplyDeleteJamani hawa watu inabidi wafanye DNA they may be related
ReplyDeleteMaharusi walipata hela kweli!!au zote zilienda kwa wamasai wa njano
ReplyDeletekumbe michuzi na wewe unapendezaga!
ReplyDeleteVizuri kumuona kaka kantinya aka Super convoy bado yuko kwenye kutumbuiza.Alitutumbuiza sana tulivyokuwa watoto enzi za breakdance.
ReplyDeletewaooooooooooo michuzi ulipendezaaaa muaaaaaaaahhhhhhh
ReplyDeleteEBWANA EEEH KUANZIA MASHAVU PUA MIDOMO KOPE VYOTE WAMEFANANA SANA WATOTO WAO WATAKUWA WAZURI SANA EEH NATKUTAKIWA MAISHA MEMA
ReplyDeleteRAJAB HUYU SEBA ALISOMA TABORA PRIMARY SHOOL JINA LIKO FAMILIA
ReplyDeleteMICHUZI WEWEEEEEEEEEEE!!!
ReplyDeletedah umetuacha hoi mshkaji,umependeza ila comfo naona ziro ivi asa iyo mikono,icho kivazi vipi ujazoea nini???taratibu utazoea na wadau wako tutakuzoea tu!!hahahahahaaa
bibi harusi ungefata ushauri wa anno apo juu,mapambo kidogo shingo ingekua empty,usirembuke sana unachusha.
JAMAN IZO LEBO MISUTI YENU!!
anyway maharusi juuu FOE oyeeeee
sio vizuri kutesa walemavu jamani!!
ReplyDeletekhaaaaa