mdau jimmy wa vodacom akiwa na na mai waifu wake mtarajiwa mary katika send-off ya bibie ilofanyika usiku huu ukumbi wa holland hall msimbazi centre jijini dar. bi harusi mtarajiwa ni mfanyakazi wa daily news. wanatarajiwa kumeremeta jumamosi hii
bosi wa maslahi ya wafanyakazi wa tsn d. sagamiko akitoa nasaha kwa mtarajiwa aliyezungukwa na wafanyakazi wenzie kwenye send-off yake
dansa mashuhuri ambao ni walemavu super convoy (shoto) na mmasai wa njano wakitumbuiza kwenye mnuso huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Maharusi ukweli wafanana na wamependeza, nawaonea wivu.

    ReplyDelete
  2. wamependeza halafu wanafanana hao utadhani mtu na kaka yake. Hongereni

    ReplyDelete
  3. Mbona suti ya bosi maslahi iko over-size? Ebu angalia mkono wa kushoto ulivofunikwa. Halafu kama kuna kilebo cha kufoji vile..

    Lebo hutolewa kabla suti haijavaliwa mara ya kwanza kakangu.

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha!! Kaka Michuzi leo naona fulanazzz uliipeleka dry cleaner. Icho kitambaa cha vazi lako jipya ni cha baibui nini kakangu? Ha ha ha!!!

    ReplyDelete
  5. Mkuu,
    Nampa hongera ila mwambie huyo bosi wenu wa maslahi atoe lebo kwenye mkono wa jaketi la suti.
    Mdau

    ReplyDelete
  6. Hongera maharusi watarajiwa mmependeza,

    Huyu "Jimmy" kama vile namjua, ni mtu wa Mwanza, alisoma Mazengo, akakaa Mwenge, wahikaji zake ni Mawazo na Paul, akasoma Ilboru ,then Foe. Mbona jina limenitoka, ndio wewe?

    ReplyDelete
  7. Anonymous April 17,2009 9:08 AM.

    uko sahihi kabisa ni yeye jina lake anaitwa Sebastian Mwamba.

    Seba umependeza kweli, ila am very sad bcos hukunijulisha mie mshika dau kua unaoa,
    ni mimi Dear....hahahahahhaaaaaaaaa
    a.k.a interchek c\o WFP

    ReplyDelete
  8. Anonymous April 17,2009 9:08 AM.

    uko sahihi kabisa ni yeye jina lake anaitwa Sebastian Mwamba.

    Seba umependeza kweli, ila am very sad bcos hukunijulisha mie mshika dau kua unaoa,
    ni mimi Dear....hahahahahhaaaaaaaaa
    a.k.a interchek c\o WFP

    ReplyDelete
  9. Michuzi,Bwana harusi anaitwa Sebastian (Seba) Mwamba,ni classmate tangu primary!Hongereni sana maharusi

    ReplyDelete
  10. umependeza bi mtarajiwa ila jmosi jaribu kulinganisha mapambo, yaani ukipamba sana kichwa basi shingo uiache wazi au kinyume, hapa umejaza sana. nakutakia kheri

    ReplyDelete
  11. Jamani hawa watu inabidi wafanye DNA they may be related

    ReplyDelete
  12. Maharusi walipata hela kweli!!au zote zilienda kwa wamasai wa njano

    ReplyDelete
  13. kumbe michuzi na wewe unapendezaga!

    ReplyDelete
  14. Vizuri kumuona kaka kantinya aka Super convoy bado yuko kwenye kutumbuiza.Alitutumbuiza sana tulivyokuwa watoto enzi za breakdance.

    ReplyDelete
  15. waooooooooooo michuzi ulipendezaaaa muaaaaaaaahhhhhhh

    ReplyDelete
  16. EBWANA EEEH KUANZIA MASHAVU PUA MIDOMO KOPE VYOTE WAMEFANANA SANA WATOTO WAO WATAKUWA WAZURI SANA EEH NATKUTAKIWA MAISHA MEMA

    ReplyDelete
  17. RAJAB HUYU SEBA ALISOMA TABORA PRIMARY SHOOL JINA LIKO FAMILIA

    ReplyDelete
  18. MICHUZI WEWEEEEEEEEEEE!!!
    dah umetuacha hoi mshkaji,umependeza ila comfo naona ziro ivi asa iyo mikono,icho kivazi vipi ujazoea nini???taratibu utazoea na wadau wako tutakuzoea tu!!hahahahahaaa

    bibi harusi ungefata ushauri wa anno apo juu,mapambo kidogo shingo ingekua empty,usirembuke sana unachusha.
    JAMAN IZO LEBO MISUTI YENU!!
    anyway maharusi juuu FOE oyeeeee

    ReplyDelete
  19. sio vizuri kutesa walemavu jamani!!
    khaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...