MBUNGE WA CUF JIMBO LA MJI MKONGWE WA ZANZIBAR, MOHAMED IBRAHIM SANYA  AKIONGEA NA WAALIMU NA WANAFUNZI BAADA YA  KUKABIDHI MSAADA WA MIFUKO 50 YA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI YA DARAJANI MJINI UNGUJA PAMOJA NAGHARAMA ZA FUNDI ATAKAYEFANYA UKARABATI WA SAKAFU KWA MADARASA 17 YA SHULE HIYO KWA GHARAMA YA FUNDI NA SARUJI SH. MILIONI MOJA  Na MIA MOJA KUMI NA SABA ELFU. PICHA NA MDAU MARTINA KABEMBA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ahsante sana mheshimiwa sanya kwa msaada wako,nakumbuka mara ya mwisho skulli hii ilipata msaada kutoka kwa bakhresa miaka kama 20 ilopita.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...