washiriki wa miss tz uk 2008 wakiwa kwenye foto shuti huko london tayari kwa mtanange wao Juni 14, ya mwaka huo katika ukumbi wa silverspoon, wembley
Kinyang`anyiro cha kumtafuta mrembo wa Tanzania Ulaya mwaka huu,”Miss Tanzania Europe 2009` kinatarajiwa kufanyika Juni 27 kwenye ukumbi wa Silverspoon ulipo pembeni ya uwanja maarufu wa Wembley,uliopo kaskazini mwa jiji la London.
Akizungumza Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya shindano hilo, Juma Mabakila alisema kuwa wamepata baraka zote kutoka kwenye kamati ya Miss Tanzania kwa kupewa idhini ya kuandaa shindano hilo la Ulaya.
Awali miaka miwili mfululizo onyesho hilo lililikuwa mahsusi kwa ajili ya warembo wa London pekee, lakini kamati ya Miss Tanzania mwaka huu imetoa kibali cha kuandaa mashindano ya Ulaya kutokana na kufanikiwa katika shindano la Miss London.
“Kweli tulifanikiwa katika mashindano yetu tuliyofanya miaka miwili iliyopita, tulipeleka washindi wetu kushiriki katika mashndano ya Miss Tanzania na wote walifanikiwa kuingia katika kumi bora, mwaka huu tumejiandaa va kutoksha, “ alisema Mabakila..
Mabakila alisema kama ilivyo katika mashindano yaliyopita, pamoja na kutangaza utamaduni wa Tanzania, kubwa zaidi ni kutumia sanaa ya urembo kutangaza vivutio vya utalii..
Awali mwaka jana Big Brother Afrika wa mwaka juzi Richard Bezuidenhout ambae ni Mtanzania alikuwa mmoja wa majaji wa shindano hilo, huku akisaidiwa na mwenyekiti wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga na Jacqueliney Mafuru.
Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza katika onesho hilo ni Banana Zoro na Hafsa Kizinje(pichani ),wasanii wa Kiganda wenye makazi yao hapa London na kujijengea jumaarufu mkubwa, Da Twinz..
Taji la Miss Tanzania UK mwaka 2008, Tusekile Mwakibinga wakati mwaka 2007 mshindi alikuwa, Gladness Katega.Warembo wawili wa Miss Europe 2009 wanakwenda moja kwa moja kushiriki shindano la Miss Tanzania.


E BWANA WATOTO WATAMU HAWA,UKILA KWA PILIPILI,CHAPATI AU CHAI YA RANGI,WANAONEKANA SAAAFI TU,TENA HAUHITAJI PILIPILI MANGA
ReplyDeleteMDAU-ESKIŞEHIR
TURKEY
Mr TZUK vipi jamani? Semeni watu tuingie kambini!
ReplyDeletehivi inabidi pia kuwa mzuri wa sura? au ni bodies tu?
ReplyDeleteAcha ulafi wewe anony one. Angalia msije kutafunwa nyie wenyewe.
ReplyDeleteHawa wasichana wasituharibia jina zuri la nchi yetu. Vifua vyao waende kumonesha chief Mswati.
ReplyDeleteHuu si utamaduni wa kitanzania wa mtu kuonekana nusu uchi. Nawashauri wabadilishe title ya mashindano haya, badala la miss TZ Europe iwe miss Europe au Miss Swaziland.
Hatupendi kuiaibisha Tanzania kwa mambo ya kuiga tamaduni za kigeni.
Siyo utamaduni yetu hiyo -- wasichana wetu kuenda kuonyesha miili yao namna hii kwa madai na visingizio vya maendeleo!
ReplyDeleteShe love to party, have a good time
ReplyDeleteShe looks so hearty, feeling fine
She loves to smoke, sometime shifting coke
She'll be laughing when there ain't no joke
A pimpers paradise, tha's all she was now
A pimpers paradise, that's all she was
A pimpers paradise, that's all she was
Every need got an ego to feed
Every need got an ego to feed
She loves to model, up in the latest fashion
She's in the scramble and she moves with passion
She's getting high, trying to fly the sky
Now she is bluesing when there ain't no blues
A pimpers paradise, that's all she was now
A pimpers paradise, that's all she was
A pimpers paradise, that's all she was
Every need got an ego to feed
Every need got an ego to feed
A pimpers paradise, that's all she was now
A pimpers paradise, that's all she was
A pimpers paradise, I'm sorry for the victim now
A pimpers paradise, soon their heads, soon their
Soon their very heads will bow
Pimpers paradise, don't loose track
Don't loose track of yourself oh no!
Pimpers paradise, don't be just a stock, a stock on the shelf
Stock on the shelf, Pimpers paradise that's all she was
Nyie mnao lalamika kwamba sio tamaduni zetu kueni na mabadiliko,kwani UFISADI ni utamaduni wetu? Umeingia Tanzania na sasa tunaongoza.
ReplyDeleteHahahaa..hamna kitu hapo!Sura hazijakaakaa..we could do better.
ReplyDeleteWewe Anon wa 7:12
ReplyDeleteKwa hiyo kama tukikubali shari moja, na lingine pia likubalike siyo??
Kama mwanakijiji alivyosema vitumbua vya nyumbani vitamu. Mwanakijiji mbona umepotea na mashairi yako?
ReplyDeleteHIVI NYIE MNAODAI HUU SIO UTAMADUNI WETU, EMBU NITAJIENIE UTAMADUNI WETU TU UPI MNITAJIE JAMA.
ReplyDeleteKAMA UNAKUMBUKA MAMA ZETU WALIKUWA WANASOMA SHULE WANAVAA VIMINI VYA KUFA MTU LEO HII HAO HAO WANADAI SIO UTAMADUNI WETU WAACHI UJINGA .
MAENDELEO YA KILA KITU NI LAZIMA UIGE HATA WAMASAI WANAVAA SURUALI NA PIA HAWATOBOI MASIKIO SIKU HIZI ,WAMAKONDE HAWACHANJI PIA SIKU HIZI, WATU WA IRINGA HAWALI MBWA KAMA ZAMANI HUONI UTAMADUNI UNAACHWA SABABU YA MAENDELEO SASA HILI LA KUKAA VIFUA WAZI TATIZO LIKO WAPI KWANI WAMETEMBEA BARABARANI HIVYO , WAO WAKO KNY MASHONDANO YANALOWALAZIMU KUSHIRIKI WAKIWA NA KIVAZI CHA HIVYO NA VINGINE , SASA WEWE KAMA KINAKUKWAZA HUNA HAJA YA KUPIGA MAPELELE WEWE JUA NI HALI UA MAENDELEO YA KIULIMWENGU.
-KIRIMOTO BACK IN STAGE-
SWALI LA KIZUSHU AU JIBU LA KUMALIZA RUSHWA?
HIVI RAIS ANAWEZA KUMALIZA RUSHWA NCHINI??
JIBU NI- UKITAKA KUMALIZA RUSHWA NI KWANZA KWA WEWE KUACHWA KUTOA NA KUPOKEA RUSHWA KWA HIVYO RAIS HATA AIMBE NYIMBO ZOTE STUDIE HAWEZI KUMALIZA RUSHWA. HII RUSHWA IMEKUWA NI PERSONAL 2 PERSONAL ISSUE NA KUIMALIZA LAZIMA IWE HIVYO HIVYO,
KAMA UNAJIBU TOFAUTI TUELIMISHANE WAUNGWANA.
anonymous wa 4:40 acha ushamba
ReplyDeleteIna maana Miss Tz yuropu kila mwaka wana washiriki wale wale. mwaka juzi hawa waliopo ktk hii picha ndio walishiriki sasa na mwaka huu ni hawa hawa au??
ReplyDeletemtoto wa 3 toka mbele MTAMU SAAAANA dah!!!
ReplyDeletehii kazi tutapona kweli???
wabovuuuuuuuuuuu
ReplyDelete