mshambuliaji wa yanga mrisho ngasa (kulia) akiwa na wakala anayetambulika na fifa yusuf bakhresa.
habari toka london zinasema ngasa ameshaanza tizi na klabu ya west ham united na ameshacheza gemu moja la wachezaji wa akiba wa klabu hiyo na wale walio katika majaribio, ambapo alifunga goli maridadi sana kiasi cha kupasi kwenda kupiga tizi na timu ya kwanza chini ya kocha gianfanco zola.
hatma yake itajulikana jumatatu ambapo zola anatarajiwa kupitia ripoti ya wataalamu wanaowafuatilia wachezaji walio katika majaribio, na dalili zinaonekana kuwa si mbaya sana kwa ngasa kwani katika wachezaji wanaojaribiwa ni yeye pekee aliyepata nafasi kwenda kupiga tizi na kikosi cha kwanza.
globu ya jamii inamtakia kila la heri mrisho ngasa kwenye majaribio hayo. wanaosema ati kwa vile anatoka nchi iliyo chini ya 70 kwa kiwango cha fifa hatopata kibali cha kufanyia kazi mnaonaje mkifanya subira kabla ya kuanza kukatishana tamaa?
baba habari na picha. hiyo ya airport tumeshaiona tunataka ya hiyo aliyocheza sijui na reserve ya timu gani. maana mechi za reserve huwa zinafanyika kabla ya mechi kubwa ya timu hizo mbili kukutana kwenye ligi kuu. nawakilisha.
ReplyDeleteEbwana michu ....
ReplyDeleteTunaomba utoe USHAHIDI kuonyesha kama ni kweli Ngassa amefanya vitu hivyo..kufunga goli..na kupiga tizi na first-team..
Toa Link kama vipi!
POA SANA
ReplyDeleteNatamani Ngassa afanikiwe kuwajibu WABAGUZI HAWA (soma hapo chini) kwa vitendo....
ReplyDelete--------------------------------
I RECKON THIS BLOKE IS GONNA BE SICK BRUV... COS HE HATES THE TASTE OF ENGLISH FOOD. APPARENTLY.
----------------------------
C Ette meets Chaucer 10:56 Mon Apr 13
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
Its news now to me
-------------------------------
13 Brentford Rd 10:54 Mon Apr 13
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
Is it possible that we can sign someone between the ages of 21 & 30 who is actualy in their prime & will add something to the team now?
----------------------------------
Mr. Burns 10:54 Mon Apr 13
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
Is this one of those scams?
----------------------------------
Chester Copperpot 10:52 Mon Apr 13
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
I don't know anything about him. Has anyone heard of him?
joe royal 10:52 Mon Apr 13
---------------------------------
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
are we turning into arsenal?
--------------------------------
zaidi:http://www.westhamonline.net/forum_flat.php?3491462%7C%7C1%7C%7C
-----------------------------
Namna nyepesi ya kuwajibu wabaguzi hawa ni kuwaonyesha kuwa uko bora zaidi yao.Uzuri ni kwamba wakishajua uwezo wako,wanakuheshimu.
Kila la kheri Mrisho. Tuwakilishe wa Tz
ReplyDeleteHilo la Ngasa kutoka kwenye nchi iliyo chini ya 70 bora za fifa haina tatizo,Sheria inasema ili mchezaji apate kibali cha kucheza ligi kuu ya England lazima awe ametoka kucheza ligi katika nchi ambayo iko kwenye nafasi 70 bora za fifa na sio taifa alilozaliwa.wakimchukua wanamtoa kwa mkopo nchi nyingine angalau miezi mitatu then anakuwa ameshakidhi viwango.Mrisho Ngasa tutoe gundu kaka.
ReplyDeleteHilo la Ngasa kutoka kwenye nchi iliyo chini ya 70 bora za fifa haina tatizo,Sheria inasema ili mchezaji apate kibali cha kucheza ligi kuu ya England lazima awe ametoka kucheza ligi katika nchi ambayo iko kwenye nafasi 70 bora za fifa na sio taifa alilozaliwa.wakimchukua wanamtoa kwa mkopo nchi nyingine angalau miezi mitatu then anakuwa ameshakidhi viwango.Mrisho Ngasa tutoe gundu kaka.
ReplyDeletesupersport ktk kipindi cha wachezaji toka africa pia walisema kocha wa west ham kamfagilia ngasa kama una dstv angalia wanakirudia hiki kipindi kila mara ss3 ndio utajua ukweli au uongo
ReplyDeleteZola vows to boost strikeforce as Hammers mull Cavani move
ReplyDelete15 April 2009
By JONATHAN CLEGG
Gianfranco Zola is determined to sign a top-class striker for West Ham this summer after watching his patchwork forward line fire blanks in last weekend's derby defeat by Spurs.
With England pair Carlton Cole and Dean Ashton currently sidelined through injury, the Hammers boss was forced to start veteran duo David Di Michele and Diego Tristan at White Hart Lane.
West Ham's lack of firepower proved costly as £14m Spurs substitute Roman Pavlyuchenko netted a second-half winner for Harry Redknapp's side, who are now just three points behind the Hammers in the race for Europe.
Di Michele, 33, had missed a glorious chance to break the deadlock minutes before Pavlyuchenko's strike, while Tristan, 33, has struggled to make an impression since moving to Upton Park in October.
Both players are likely to leave the club when their contracts expire at the end of the season and, though Zola defended their contributions against Tottenham, the Italian has resolved to bring a new front-line forward to the club this summer.
He said: "When Di Michele went through [on Saturday], I thought it was our moment, but he is never lucky in front of goal.
"Diego has also done very well, but this is just the third game where he has played 90 minutes. Physically when you do not play for such a long time, you have to be understanding.
"Having said that, we will [look at signing a striker this summer]. That is a part of the team where we are looking to improve."
West Ham technical director Gianluca Nani is currently drawing up a list of potential reinforcements, with Palermo forward Edison Cavani understood to be the club's No1 target.
The 22-year-old Uruguay international was linked with West Ham last summer and is aware of interest from the Hammers and a number of other European clubs.
"I know that several foreign teams, but also Italian ones, are following me," Cavani said.
West Ham are also considering a move for Tanzania striker Mrisho Ngasa, who has joined the club on a two-week trial.
Watanzania kama kawaida yetu tumeanza kumwaga ujiko usiostahili. Jaribio moja, ooh Ngasa amefanya .... sijui nini na nini! Huyo ana kazi kubwa sana kuelekea kufanya mazoezi kwenye first team. Kuna watu wanafanya majaribio mwaka mzima na reserves na bado hawafanikiwi (Tresor Mputu wa DR Congo alikaa Arsenal mpaka ameamua kurudi kuendelea na ndombolo kule Congo).
ReplyDeleteTulipata taharifa za sifa kama hizi wakati Henry Joseph alipokwenda kufanya majaribio Norway. Yuko sasa hivi? Mambo mazuri hayataki haraka, wakati wa kutoa wachezaji kwenye ligi maarufu utakuja tu.
Ebwanaeeh nilibahatika kuona pambano NGASA alinyanyasa kama C.RONALDO akapiga bao la Ajabu.Kwa lile goli binafsi nishampitisha
ReplyDeleteMdau UK
Waingereza wengi ni wapumbavu.Yaani wanatoa comments ambazo hazilingani na kitu au mtu anayezungumziwa.Sasa vyakula vyao kama ni vibaya kwa nini mtu asiseme.Watu wengi watokao nje ya England hawapendi vyakula vya kiingereza ni ukweli usiopingika.Wao wanaona ni Insult.Dah mnaoishi UK sijui mnaishije huko yaani ubaguzi na chuki nje nje.Mungu ambariki Mrisho.
ReplyDeletehttp://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/7976915.stm
ReplyDeleteMichuzi wape hiyo
katika moja ya westham chat site kuna commets kama hizi:
ReplyDeleteboleyn8420 9:26 Tue Apr 14
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
Apparently he too has a dead father that had $1,000,000,000 in an unmarked account that if West Ham give him their bank account........
Xnulian Rrudho 5:00 Mon Apr 13
Re: Ngasa to have trial at West Ham...
So we could potentially have 3 Africans out of 4 wide players in the first team in a couple of years. Savio doesn't technically count, but there you go.
nguso and bakhresa read between the lines!!!!!!
Asante kwa link,ila haielezei kuhusu mechi aliyocheza ngassa ktk reserve.Inaelezea ngassa kupata nafasi ya training huko westham
ReplyDeletehureeeeey ngassa juuuuuu
ReplyDeleteGod bless yu kid keep the kick there
MICHUZI SWALA SIO KUKATISHANA TAMAA KUHUSU HIO SHERIA YA KUWA RANK YA 70 KWENDA JUU NI KWELI .ANAWEZA KWENDA NCHI KAMA UFARANSA AU UHOLANZI AKACHEZA KULE MANAKE SHERIA ZAO SIO NGUMU ALAFU AKARUDI UINGEREZA.NIKUFAHAMISHANA TU MUHESHIMIWA SIO KUVUNJANA MOYO.
ReplyDeletekila heri Ngassa mambo yatakuwa sawa hakuna kinachoshindikana mtu wangu , kaza buti tu ,we 'r proud of u
ReplyDeleteJamani kuna vitu sisi huwa tunashindwa mara nyingi na vinatuangusha mno. Usahihi wa habari hiyo ya kwanza, pili utunzaji wa kumbukumbu. Kwa mfano nimetembelea forum za washabiki wa West Ham kila anayechangia ana swali kuhusu kitu fulani kuhusu huyu mchezaji wetu Mrisho Ngasa na tuangalie positive side za hizi comments. Maana wesite zinatoa info tofauti tofauti kabisa kuhusu huyu kijana zingine zinasema ni goalkeeper kazaliwa 1969, zingine zinasema ni striker kazaliwa 1989,ukija kwenye youtube kuna clip ambazo Yusuf alipeleka huko West Ham zinaonyesha amezaliwa 01.01.1989 kwenye web zingine zinasema 05.05.1989. sasa wapi na wapi hapa? Ukija kwenye info zingine zinasema amefunga magoli kwa timu ya taifa zingine zinasema hajafunga hata goal moja na wala hazionyeshi kama kacheza hata mechi moja kwenye timu ya taifa maana kuna(O) sasa wenzetu wakishaona hivi maswali na kejeli zinaanza? Tujaribu tuwe na uwiano wa habari ili isije ikawa na utata na gumzo linaloendelea wenye forum za West Ham UTD fans. Kwa mfano hapo juu kaka Michu mkuu wa naniiih unasema amealikwa kwenye kujifua na timu ya kwanza ya WHUTD ukumbuke jana walikuwa na open session 11:00 am na kijana wetu hakuwepo sasa nyinyi hizi habari mnatoa wapi jamani?
ReplyDeleteBig UP Ngasa kaza msuli utafanikiwa tu na West Ham isiwe mwisho hata kama wakileta zengwe kwani wewe siyo wa kwanza ila kaza buti work extra hard and beat the odds mdogo wangu utafanikiwa na mafanikio yako ni faraja kwetu. Sara zetu ziko na wewe hata kama hatujuani huo ni utamaduni wetu.
Mdau U.K.
Suala la sabini bora sio tatizo. Mara nyingi timu za Uingereza wanachofanya ni kumsajili mchezaji na kumtoa kwa mkopo kwenda timu nyingine ya Ulaya yenye masharti nafuu. Akitoka hapo baada ya muda fulani anarudi kucheza Uingereza.
ReplyDeletejamani huyu kweli ana miaka 20, wabongo tunajuana sura zetu, chukua link hii http://www.goal.com/en/people/aruba/25584/mrisho-ngasa
ReplyDeletewanasema ana miaka 30, dah! kapunguza miaka 10, c mchezo....
subiri cjamaliza wamesema pia ni golkipa, sasa vp mbona hatuelewi?
Matumaini ya bendera ya Tanzania kupeperushwa kwenye Premier League ni makubwa. Mdau aliyetoa habari ya Jonathan Clegg ameitoa hapa:
ReplyDeletehttp://www.eastlondonadvertiser.co.uk/content/towerhamlets/advertiser/sport/story.aspx?brand=ELAOnline&category=sportfootball&tBrand=northlondon24&tCategory=sportela&itemid=WeED15%20Apr%202009%2016%3A16%3A38%3A330
Habari hiyo imetoka kwenye chombo cha habari cha Uingereza ambacho hakina sababu ya kumpa sifa Ngassa.
Wazungu wanachunguza MICHUZI tuwashtaki www.GOAL.com wameeandika hivi tizameni wadau mbona wanatakak utuharibia mtu anacheza mbele wanasema golikipa ana 36yrs old.
ReplyDeletehttp://www.goal.com/en/people/aruba/25584/mrisho-ngasa
From Pazi.
Ni aibu mpaka leo hatuna mfumo mzuri wa kutunza kumbukumbu za wachezaji. Klabu zetu nyingi hazina tovuti. Tovuti ya TFF nayo basi tu, ku-update mpaka kuwe na ziara ya rais. Hivyo vyanzo viwili ndio vilitakiwa kuwa vyanzo vya kuaminika.
ReplyDeleteHebu tuyafanyie kazi haya, ni mambo marahisi mno hayahitaji pesa za wafadhili.
MKUU WA NANII NI KWELI KIJANA ALIKUWEPO LEO AT BOLEYN GROUND IN UPTON PARK.MRISHO NGASSA ALIKUWEPO KUTOKANA NA LINK HIYO CHINI.
ReplyDeletewww.WestHamOnline.net/forum_flat.php?3493584
ocd
Mdau unayesema ulienda kushuhudia mazoezi ukamwona Ngassa akipachika mpira wavuni ungeletea wadau amani kama ungeambatanisha na taswirazzz. Ukienda tena kucheki tizi lao nenda japo na kamera ya kwenye simu wadau tuone kinachoendelea kupitia blogu ya jamii.
ReplyDeleteHabari za kuaminika ni kwamba Mrisho Ngassa hakubahatika kuingia hatua ya pili ya majaribio katika timu ya West Ham.
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=1_nYc8SLv3w&feature=related
ReplyDeletewatupieni mambo ya youtube tu unajuwa Waengereza wengi hapo vizee na vitoto vihuni visivyojuwa kitu ndio wanapiga kelele kwenye forum zao ukiwaonesha nusu nusu za youtube huwa wanasema mchezaji bora youtube ngasa1.
Mrisho Ngasa has been rejected by West Ham United.. the whole issue is too complicated, but part of the problem should be addressed to his agent, who may have been able to do more in terms of preparation. For example, before Mrisho Ngasa left for London, he was supposed to speak to Tommy Taylor who is the technical director of Tanzania Soccer Academy and who is working with the Tanzania Football Federation in Dar es Salaam. Tommy Taylor could have helped with advice, local knowledge of West Ham and also participate in assessing Ngasa before he left for London.
ReplyDeleteThe Cv of Tommy Taylor:
3 Full England International cup.
20 U-23s England International appearances
Championship Winners Medal-Leyton Orient Foootball Club.
F.A Cup Winners Medal 1975-West Ham United Football Club.
981 Professional Appearances.
Tsports
CORRECT ME IF I AM WRONG, HOWEVER IT'S MY OPINION. I AM EITHER RIGHT OR WRONG.
ReplyDeleteI'VE SEEN MRISHO'S CLIP ON YOUTUBE HE IS A GOOD PLAYER WITH GREAT POTENTIAL,HOWEVER,NEEDS A LOT OF WORK. HE SEEMS INEXPERIENCED, IMMATURE. I RED ONE OF THE LINKS WADAU PROVIDING ON TOP. HE IS 65KG, WITH THIS WEIGHT YOU NEED TO BE EXTRIMLY GOOD, ABOVE AVERAGE TO MAKE TO THE MODERN SOCCER. SOCCER IS THE PHYSICAL GAME NOW. HE IS STILL YOUNG AND HE CAN MAKE IT. THIS IS JUST MY DEDACTIONS.
I WISH HIM GOOD LUCK. MRISHO REMEMBER, DO EASY THINGS, BE TACTICAL, DO FUNDAMENTAL. YOU GOT GREAT SPEED YOU WILL MAKE IT.
I AM EITHER RIGHT OR WRONG.
IT IS WHAT IT IS.
Wabongo nao! kila mtu anaongea la kwake, ripoti ya majaribio ya mrisho ngasa katika timu ya west ham united kama umeipata hebu tujuze angalau jufahamu kama kuna mafanikio kuliko kila mtu anaongea la kwake.
ReplyDelete