kaka msaada kwenye tuta. Hii sio chekesha toto, nilaivu. Naomba wadau hebu nisaidieni, jamaa kanipiga maswali hayo nami naanza kuona kizungumkuti. Yaani hapa kiswahili kimekuwa kigumu kwangu. Naomba nisaidiwqe kutafsiri
Ila ukitaka more katuniz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Others among us = Wengine kati yetu
    The rest of us = Tuliobaki kati yetu
    Others among them = Wengine kati yao
    The rest of them = Waliobaki kati yao.

    ReplyDelete
  2. Mdau, OmanApril 06, 2009

    Others among us - Wengine miongoni mwetu
    The rest of us - Tuliosalia
    Others among them - Wengine miongoni mwao
    The rest of them - Waliosalia

    Nadhani hii ni sahihi mkuu

    ReplyDelete
  3. 1. Baadhi miongoni mwetu
    2. Sisi tuliosalia
    3. Baadhi miongoni mwao
    4. Waliosalia

    ReplyDelete
  4. 100% correct mdau.Na nathan habari ndiyo hiyo.

    ReplyDelete
  5. We anonymous wa kwanza hapo juu nadhani nawe umekosea kidogo:-Neno sahihi hapo ni"miongoni" na siyo "kati"
    Kwahiyo hapo ingetafsiriwa hivi:
    1.wengine miongoni mwetu
    2.wengine wetu
    3.wengine miongoni mwao
    4.wengine wao.
    mdau wenu.Maimuna

    ReplyDelete
  6. Others among us= Wengine miongoni mwetu
    The rest of us= Tuliosalia kati yetu.
    Others among them= Wengine miongoni mwao.
    The rest of them= Waliosalia kati yao.

    The Kibajaj

    ReplyDelete
  7. Well Stated Mdau Namba Moja.

    Others among us = Wengine kati yetu
    The rest of us = Tuliobaki kati yetu
    Others among them = Wengine kati yao
    The rest of them = Waliobaki kati yao

    ReplyDelete
  8. -wengine miongoni mwetu
    -Wote tuliobaki
    -Wengine miongoni mwao.
    -Wote miongoni mwao.

    ReplyDelete
  9. kiswahili nacho kigumu!:

    *others among us - wengine miongoni mwetu..
    *the rest of us - sisi tuliobakia/baki yetu sisi (tafsiri sisisi, kwani kwa kiswahili kilichozoeleka 'sisi' yatosha)
    *others among them - wengine miongoni mwao
    *the rest of them - wao waliobakia/baki yao wao...

    UZENG

    ReplyDelete
  10. others among us= miongoni mwetu.
    the rest of us= tuliosalia
    others among them= miongoni mwao
    the rest of them= waliosalia.

    mswahili wa pwani

    ReplyDelete
  11. wengine 'tuliosalia'
    Hivi watu wanasalia? au vitu?
    Nafikiri watu wanaliobaki./bakia

    ReplyDelete
  12. Te! sasa kama maana ya maneno hayo rahisi ya kiswahili hujui, basi iweje ujiite Mswahili!
    mmh! Yangu Macho!

    ReplyDelete
  13. Kweli watanzania kingereza hatujui tunajidanganya tu hapo.
    Hapa wanachokifanya wengi wetu ni kutafsiri neno kwa neno"word to word translation" Mara nyingi tafsiri ya namna hii hupotosha maana iliyokusudiwa.
    Hapo atleast huyo Maimuna yuko sawa sababu amejaribu kutafuta tafsiri ya kimaana nasiyo tafsiri ya neno kwa neno.
    How comes"the rest of us" iwe tuliobaki kati yetu???Hata sarufi ya kiswahili haiafiki kitu hiki.
    Kazi ipokweli hapa.

    ReplyDelete
  14. ...Maswali mengine, bwana!! haya, Mdau wa Oman ndio yuko sawa. tuendelee na mambo mengine....

    ReplyDelete
  15. wote mmekosea
    huwezi kusema:
    1.wengine kati yetu. neno kati hutumika kufananisha vitu au watu wawili mfano:nchi gani unaipenda kati ya tanzania na uganda?
    2.tuliobaki kati yetu. inamaanisha kulikua na safari wengine wakaenda wengine wakabaki
    3.tuliosalia. neno tuliosalia linaleta maana nyingine. mfanotuliosalia maiti ni .....
    4.wote tuliobaki. haina tofauti na maelezo ya sentensi ya pili hapo juu
    the living legend, Ukraine.

    ReplyDelete
  16. MLIOBAKI WAPI?

    MLIOSALIA NANI?

    ReplyDelete
  17. Kijasti,
    Mswahili wa Pwani kagonga haswaaa!Namkubali
    Mdau Lily

    ReplyDelete
  18. Others among us = nchi nyingie kati ya marekani


    The rest of us = mapumziko kati ya marekani

    Others among them = Wengine kati yao
    The rest of them = mapumziko yao

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...